Recent content by Ginner

  1. Ginner

    OpenAI amegeuka kuwa ClosedAI ghafla, sasa ana restrictions kibao kuna baadhi ya vitu ukimwambia anagoma kutoa majibu. Nini kimempata OpenAI?

    We really do miss use the AI platforms. Siku tukijabkujua matumzii sahihi ya AI, tutakuwa tumechelewa sana
  2. Ginner

    Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

    Changamoto ya Afya ya akili is real....unamdharau mtu kisa umelala nae? Vipi isiwe vice versa, yeye akudharau kwa kuyaona maungo yako aswell?
  3. Ginner

    TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Asingekuwa amekwama kitaalauma na kuwa mwalimu wa tuition, majority wasinge mtambua. Ni ile tu ameeacha alama kwa vijana wa leo kwa kuwapiga Pindi tuition. Kuna vipanga viko kimya tu, hawakuwa na kelele mtaani, wako sehemu wanafanya makubwa. Japo most of TO huku mtaani wako frustrated...
  4. Ginner

    Vijana chukua fursa: Portable Petrol Station Machine

    Issue ni sheria na regulations zinazoguide iyo sector. Kuna taratibu za kiusalama pia kuna taratibu za kimazingira. Pia kwasasa lazima pump zote ziwe intergrated na mfumo wa EFD.
  5. Ginner

    Vijana chukua fursa: Portable Petrol Station Machine

    Ukisafiri mkoani, utakuwa vijana wengi wanauza wese kwenye makopo. Maarufu kama kidebe. Wanauza mpaka 4000 kwa lita. So far serikali hawahangaiki nao. Sasa ngoja usikie muuza wese la kidebe amefunga na pump na kawawekea kivuli wateja wake...kesho tu Ewura hawa hapa
  6. Ginner

    KERO Wanafunzi wa MASTERS na Ph.D Hosteli za Ubungo - UDSM tunanunua maji ndoo moja Tsh. 1,000

    Phd anakaa hostel, Alafu hawa wapuuzi ndo tunategemea wapate teuzi watutawale. Nchi ya kise*** sana hii
  7. Ginner

    Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

    Unajua commission ya kila transaction ni kiasi gani?
  8. Ginner

    Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

    Wakuu salama....uzi mzuri sana huu. Naomba pia kujua, kuna mahali naweza kupata chart ya Commission za wakala kwa kila range ya mihamala?
  9. Ginner

    Lets create open-source solutions from TZ

    Escrow system.....for minor online transactions
  10. Ginner

    Natafuta ABS Actuator ya Toyota Brevis

    Ukimpata mtaalamu, wanaondoa mfumo wa ABS wanafunga master ya kawaida
  11. Ginner

    Natafuta ABS Actuator ya Toyota Brevis

    Hizi zilikuwa zinauzwa 300k miaka ya nyuma, ila sasa zine shoot mpaka 1.2-1.5m unless uiotee mahali. Imekuja kugundulika zinafunga kwenye Prado 150 na 250 series. So bei imeshoot hatari
  12. Ginner

    NAUZA ENGINE K12 B

    Inakuja complete na waya zake? Nicheck 0755815174 (whatsapp)
  13. Ginner

    Habibu Mchange: Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM

    Yote hii ni katika harakati za kukimbia kilimo kijijini. Mwaka wa 10 huyu bwana anatangatanga, angekuwa amefungua genge miaka iyo, angeweza kuwa na mafanikio makubwa sana hii leo. Kwa ufupi siasa imemkataa
  14. Ginner

    Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

    Payment solution, kupokea online payment kwenye platform yako kupitia vodacom, Mixx, airtel and the likes
Back
Top Bottom