Recent content by gilmanywele

  1. G

    Ufafanuzi zaidi kuhusu udahili wa elimu ya juu (vyuo vikuu) 2017/2018

    Lakini mimi pia sikuona chuo cha ST. FRANCIS cha IFAKARA ndani ya hii guideline ya TCU. Ila ukiingia kwenye website ya St. Francis wanaonesha wanadahili mwaka huu. Kutakuwa na mapungufu kwa hii guideline
  2. G

    TRA yakusanya trilion 1.158 kwa mwezi Agosti na kuvuka lengo, Kariakoo kuwa mkoa maalum wa kodi

    Kwa Nadhani usome tena, post yangu ya awali. Kwa hiyo hata sasa hawafanyi kazi zao sawasawa kwa kuwa hawana ukali!? Kuwa mkali unamaanisha nini labda? Bila shaka ulimaanisha kusimamia sheria ama taratibu vyema. TRA, TPA, PCCB wakiendeleza "ukali" na wafanyabiashara wakafuata taratibu na...
  3. G

    ARUSHA: What went wrong? Mount Meru Hotel inauzwa, Snow Crest ipo mnadani

    Wewe hela uliyoipata umeitumia kufanya nini?!?
  4. G

    ARUSHA: What went wrong? Mount Meru Hotel inauzwa, Snow Crest ipo mnadani

    Daaah, unaona ni heri bandari iwe tupu..!!?? Bidhaa feki kuingizwa nchini nako kunahusiana vipi na Bandari.? Hiyo kazi ya bidhaa feki inawahusu TBS. Mbona hadi sasa bidhaa feki zipo japokuwa hazijapitia bandarini.!? Hata sisi watz wenyewe tunatengeneza bidhaa feki hata kama tukifunga bandari...
  5. G

    TRA yakusanya trilion 1.158 kwa mwezi Agosti na kuvuka lengo, Kariakoo kuwa mkoa maalum wa kodi

    Binafsi, naona wakati wa JK walikusanya mapato makubwa zaidi ya haya ya sasa. Wakati wa Jk mwezi August walikusanya 923 Bilioni huku mwaka mmoja baadaye wamekusanya 1158 Bilioni. Hii ni tofauti ya bilioni 235. Wakati wa Jk kilichoelezwa ni kuwa mapato hasa bandarini yalikuwa hovyo na mizigo...
  6. G

    TRA yakusanya trilion 1.158 kwa mwezi Agosti na kuvuka lengo, Kariakoo kuwa mkoa maalum wa kodi

    Uliyeelewa hotuba, tufafanulie maana wengine ndo hivo labda tuna uelewa hafifu
  7. G

    Stationery kubwa inauzwa

    Sio nzuri hii, huu uzi kaanzisha mwenzio kwa sababu zake mwenyewe. Kuweka suala lako hapa ,si afya. Nimeona sehemu nyingine nako umefanya hili hili. Anzisha uzi wako kama lengo ni kuitangaza Stationary yako.
  8. G

    Njia 8 za kupata ajira popote hata bila cheti (part 1.5 aka ufafanuzi)

    Dah, bonge za madini aiseeh. Ahsante sana
  9. G

    Serikali ifanye haya kutokomeza mimba za utotoni. Kuwafunga watu miaka 30 siyo suluhisho

    Kwa mazingira ya sasa hata sheria iwe kali vipi, lazima mimba zitapiga hodi tu. Kuwabana wanaume si kazi rahisi maana hata kuwekwa sheria ya kufungwa miaka 30 kwa kubaka, iligonga mwamba. Wazazi na walezi kulea vyema na kuwakumbusha watoto mambo haya ya uzazi na madhara yake ndio njia imara...
  10. G

    Tabora Boys: Special school inayopotea!

    Hahaaaa Galapagos,bonge ya chemba. Nilikjwa na kichemba flani pale, nilikipenda ka nini.
  11. G

    Mishahara ya save the children

    Dah ,ahsante mkuu
  12. G

    Mishahara ya save the children

    Kumbe ni gross salary.? Ila sawa tu kuliko kukaa mkavu mtaani ni heri uwe nao karibu, unaweza kuongeza uzoefu na kuepuka kuomba vocha. Ambacho sikuwaelewa kwenye tangazo lao wameandika," The enumerator will be contracted occasionally once the research/assessment or survey happens"...
Back
Top Bottom