Stationery kubwa inauzwa

Stationery kubwa inauzwa

nani asiyependa hela wakati kama huu,kama inaingiza faida kuna haja gani ya kuuza,usipanic anyway nawaza kwa sauti.
 
nani asiyependa hela wakati kama huu,kama inaingiza faida kuna haja gani ya kuuza,usipanic anyway nawaza kwa sauti.
Hapana siwezi kupanic hata maramoja hiyo sio hulka yangu
Sababu zipo nyingi lakini moja kubwa ni kwamba nabadili mazingira na biashara
 
EMPOWER STATIONERY - THE UNIVERSITY OF DODOMA

TUNAPATIKANA MKOANI DODOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ALI MAARUFU UDOM

COLLEGE OF EDUCATION (COED)

ENEO LA UJASI

TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-

PRINTING - 50/=

PHOTOCOPY 25/=

SCANNING - 300/=

BINDING - 500/=

SPIRAL - 1500/=

INTERNET CAFE

PIA TUNA EDIT KAZI ZA MASTERS NA KUWEKA VIPIMO

UMEME NI WA UHAKIKA HATA UMEME UKIKATIKA TUNATUMIA SOLAR POWER

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU

0752074090

0784387983

AU

e-mail empowerstationary@gmail.com

GODBLESS EMPOWER
 
Sio nzuri hii, huu uzi kaanzisha mwenzio kwa sababu zake mwenyewe. Kuweka suala lako hapa ,si afya. Nimeona sehemu nyingine nako umefanya hili hili. Anzisha uzi wako kama lengo ni kuitangaza Stationary yako.
 
Mkuu mshana jr, hapo tunaweza kufanya biasharaya electronics, kama TV za kuanzia nchi 32 na smart tufanye biashara?
 
Hapana siwezi kupanic hata maramoja hiyo sio hulka yangu
Sababu zipo nyingi lakini moja kubwa ni kwamba nabadili mazingira na biashara
Pili hailipi, hata pango na mshahara wa binti ni sheeeda japo una uwezo wa kuvilipa toka chanzo kingine.
 
Hongera sana,bei ilikuwa rahisi sana na eneo kubwa pia.
Ila Mshana hakikisha unamachia dawa zako za kuzuia wanga na chuma ulete.
Maana najua wewe mkali hawakukuweza asije huyo new Comer akawa anaibiwa kila siku
 
Hahhahahaaaa long time no see you brother
 
Pouwa kule nazi na mbuzi na nguo vinatoka sana
Haswaa,ila usafiri ndio changamoto,na pia nazi zinapotea kwa kasi,maana hata hapa Zanzibar baada ya miaka 10 itabidi tuagize nazi kutoka nje,maana maeneo mengi yenye kilimo cha minazi yanakuwa kwa kasi kwa ujenzi.Na watu hawapandi minazi,wanategemea ile ya asili.
 
ni kweli usafiri ni changamoto kubwa sana ila mzigo ukifika salama faida ni nzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom