Hivi hawa tcu na nacte wanampango gani na walimu

Hawawezi kazia hiyo GPA ya 3.5 wewe itakuwa ni tatizo kubwa na vyuo vitafungwa kwa kukosa wanafunzi afu wewe hushtuki tu mbona admission zinachelewa !jiangalie wewe kitambo ufaulu upo vile vile ila ilitakiwa tu kuondoa janja janja ya kupata vyuo bila sifa na siyo kukomoa kwa kupandisha GPA kwa watu wa diploma afu mtu wa six ana vidii vyake viwili tu eti anakwenda chuo (DD) sijaona kitu hapo mimi

acha dharau za kike mshamba wewe crayz wa mwisho kabisa unasema vidii viwili vya forn six (DD) ungekuwa wew ungepata hata F yenyew sasa... foooooooolish
 
Hivi mwenye C,E,E anaweza pata chuo na mkopo?
 
Baadala ya kusoma diploma upya unarudia mitihani ya Form 6 nina uhakika mtu huwezi kosa vi D viwili.
Mh!sio simple kama unavyofikiri mkuu kwa sababu D inaanzia 50 mpaka 59.kwaiyo unataka kunidhibitishia kuwa mtu wa PCB aliekosa hizi marks atazipata kwa kuresit?Impossible!
 
Hawawezi kazia hiyo GPA ya 3.5 wewe itakuwa ni tatizo kubwa na vyuo vitafungwa kwa kukosa wanafunzi afu wewe hushtuki tu mbona admission zinachelewa !jiangalie wewe kitambo ufaulu upo vile vile ila ilitakiwa tu kuondoa janja janja ya kupata vyuo bila sifa na siyo kukomoa kwa kupandisha GPA kwa watu wa diploma afu mtu wa six ana vidii vyake viwili tu eti anakwenda chuo (DD) sijaona kitu hapo mimi
hivi unajua D moja no ngapi ndugu?
 
Back
Top Bottom