Duuuh!!!hii nayo Kali,maana hiyo hali watu wanaitafuta sana hadi kwa waganga.
Ila nijuavyo mm ni kuwa hali hiyo hutokana na mjengeko wa mawazo,so utakuwa unamawazo yanayopelekea uume kusimama.
Manji akizungumza hamna sauti nyingine yakukohoa,Hongera MANJI coz hamna mfanyabiashara anayetoa fedha bure.
Huu ni wakati wake wa kurudisha hasara ya mlivyokuwa mnachekelea kuingia bure uwanja wa taifa
Kama lengo ni kuzuia hawa waganga wangewakamata wote lakini kumkamata mmoja na kuacha wengine wanatamba kwenye matangazo ya TV na redio sio sahihi.Tena hawa matabibu wanatoza gharama kubwa utadhani unatibiwa Appolo India
Hahaaa!!!Mimi sisomi hapo ila nakushangaa unavyosema husomi hapo na unalalamikia matatizo kuliko wanaosoma hapo,kijana nenda kasome Harvard huko ndo mazingira bora yapo,lakini pia naendelea kukusisitiza jifunze kuandika na uwe una hariri habari yako kabla ya kuituma ionekane ktk jamii
Kwajinsi ulivyoandika bandiko lako wewe utakuwa ni mmojawapo wa wale ambao hawakustahili kusoma chuo hicho.
Unaandika kama uko primary,sasa huko chuo ulifikaje kama siyo wewe mmoja wa wanaokishushia hadhi chuo hiko.
Kuna watu inatakiwa mkamatwe,maana kazi sijui mnafanya saa ngapi,kukicha mitandaoni siasa mpaka jua linazama ni siasa tu,akiwemo na mtatiro.Samahanini lakini nimetoa maoni tu kama katiba ya nchi inavyoelekeza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.