Basi la Mwendo Kasi lapata ajali barabara ya Morogoro

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,614
Reaction score
62,403
Ajali ya basi la mwendokasi (DART) iliyotokea usiku huu katika barabara ya Morogoro.
IMG_20161104_232913.jpeg
IMG_20161104_232908.jpeg

Basi la Mwendo kasi lagongana Uso kwa uso na Prado makutano ya Morogoro Road na Mtaa wa India usiku huu.

Hakuna madhara kwa abiria na drivers wa pande zote mbili !
 
  • Thanks
Reactions: MC7
hizi gari za mwendokasi mbona ni boksi hivyo yani ndo imeharibika kama imekutana na fuso .
 
Dah...kuna haja kubwa ya kuweka taa za kuongozea magari kwenye makutano ya njia za mwendo kasi baada ya kuvuka Bibi Titi. Cha ajabu kwenye makutano yote ambayo unaweza kuona kwa uwazi wameweka taa....Ila huku uswazi kwenye vichochoro hawajaweka...na ukitaka kuvuka inabidi umuombe mtembea kwa miguu akutizamie....kwani taa bei gani kwani?? Tutegemee ajali nyingi za kutosha mvua zikichanganya[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Dah...kuna haja kubwa ya kuweka taa za kuongozea magari kwenye makutano ya njia za mwendo kasi baada ya kuvuka Bibi Titi. Cha ajabu kwenye makutano yote ambayo unaweza kuona kwa uwazi wameweka taa....Ila huku uswazi kwenye vichochoro hawajaweka...na ukitaka kuvuka inabidi umuombe mtombea kwa miguu akutizamie....kwani taa bei gani kwani?? Tutegemee ajali nyingi za kutosha mvua zikichanganya[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu hebu edit posti yako pale ulipoandika mfyatulia kwa miguu ili na mimi niiedit hii posti yako niliyoinukuu na unitaarifu
 
inaonekana mabasi ya dar ni malaini sana, ni tofauti na ya mikoan, apo imegongana na prado je ingekuwa na 109 si ingeisha yote. poleni
Hahaaaaa! Mabasi ya Dar vs Mabasi ya mikoani!
Wanaume wa Dar vs Wanaume wa mikoani!
 
inaonekana mabasi ya dar ni malaini sana, ni tofauti na ya mikoan, apo imegongana na prado je ingekuwa na 109 si ingeisha yote. poleni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaani
 
Dah...kuna haja kubwa ya kuweka taa za kuongozea magari kwenye makutano ya njia za mwendo kasi baada ya kuvuka Bibi Titi. Cha ajabu kwenye makutano yote ambayo unaweza kuona kwa uwazi wameweka taa....Ila huku uswazi kwenye vichochoro hawajaweka...na ukitaka kuvuka inabidi umuombe mtombea kwa miguu akutizamie....kwani taa bei gani kwani?? Tutegemee ajali nyingi za kutosha mvua zikichanganya[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu hebu soma tena ulivyoandika hapo juu, kisha chukua hatua! kweli kuna mtu anaweza kufanyia kwa miguu?
 
Dah...kuna haja kubwa ya kuweka taa za kuongozea magari kwenye makutano ya njia za mwendo kasi baada ya kuvuka Bibi Titi. Cha ajabu kwenye makutano yote ambayo unaweza kuona kwa uwazi wameweka taa....Ila huku uswazi kwenye vichochoro hawajaweka...na ukitaka kuvuka inabidi umuombe mtombea kwa miguu akutizamie....kwani taa bei gani kwani?? Tutegemee ajali nyingi za kutosha mvua zikichanganya[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kuna neno hapo katikati ya mistari,hebu rudia kusoma na ku-edit,[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ulivyoandika inaonyesha nawe ni wa mwendo kasi,usilaumu hayo mabasi kwani mko sawa kimwendokasi,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom