Recent content by gid boy

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hivi vikikusanywa vinyesi vya watanzania wote hatuwezi kuzalisha umeme wa kutosha?

    Aisee hili wazo n zuri sana
  2. G

    JamiiForums Tanzania Aiyola - Harmonize, Kipaji kipya

    Ila dogo yuko vzuri sana ngoja tuone kama lebel y wasafi itazingatia vitu hvyo kwa dogo lkn pia hat a yy mwenyew harmonize kujituma zaid
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wadada wengi mjini wana pesa, maisha mazuri, magari, wamesoma lakini hawaolewi

    Nimeipenda hyo ni kweli kabisa whatever they would like to choose its upon them but they will regret
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumsajili kwa baba mwingine mtoto aliyekataliwa na baba yake mzazi

    Hakuna sababu yoyote ya kubadili jina coz yye co damu yake inapaswa mtoto aitwe jina la baba yake mzaz regardless nyinyi hampo tena kwenye mahusiano Kama jamaa ameamua kujitolea kuwa nae iwe ni kwa ajili ya kumpa huduma ambazo mtoto anastahili kwanza namsifu sana huyo jamaa Pia mtoto anapaswa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kapata kazi kanitupa

    Sometimes maamuz magum yanahitajika temana naye atakuumiza kichwa chako
  6. G

    JamiiForums Tanzania Habari humu

    Sure mkuu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Habari humu

    Jaman mm naitwa gidion Christian naishi mwanza ni Mara yangu ya kwanza kuingia humu jf ni nzuri kiukwel nimeipenda naomba kushirikiana nanyi kulisongesha gurudumu la maendeleo kwa namna itakavyowezekana
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kauli CHAFU za walimu darasani

    Hyo Kali kinoma
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kauli CHAFU za walimu darasani

    Sita kavu yaaan chagua mwenyew matakon au mikonon
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa unaitesa CCM na UKAWA

    Watu wameanza kubadili mitazamo yao na fikra zao kwa lowasa kutokana na ukimya wake ngoja tuamgalie maisha mengine bana
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

    Hata kama umempenda lkn tambua huyo ni baba yako uon kama utaleta fedhea katika familia yenu kuwa na mahusiano ya kimapenz na ndugu yako
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kazaa nje ya ndoa, nifanyeje?

    Kuna vitu vingine inabidi ujiongeze mkuu mwanamke wa hivyo akufai yye mwenyewe amekosa uaminifu tayari alafu bado uendelee kung' ang'ania achana nae
Back
Top Bottom