Mkuu sio kwamba uchaguzi ndio ulikua maigizo?????Mafuriko ya kipindi kile si yalikua ya maigizo. unadhani saizi watu watadeki barabara na kuzimia. Atulie tu huko aliko asubiri kufilisiwa mali zote alizozipata kwa kutuibia Watanzania. Na makampuni yake yote yaliyokua yanafanya janja janja kukwepa kodi nk yatakiona cha mtema kuni
Ukiangalia mtiririko wa huu uzi,ukaona ujazo wa povu lililomwagika utagundua kivuli cha Lowassa kinatesa watu!
Nawahakikisha Lowassa akiongea inaweza kuwa msaada kwenu,mnaweza kupona roho zenu.
Hebu mpeni nafasi mzee wetu atuhutubie Jangwani!
mkuu waache bavicha wajifariji angalau kidogo mkuu,maana kipigo walichopata bado hawaaminiSasa tutishwe na ukimya wake Kwasababu gani??
Na Magufuli hapigi kazi Kwasababu ya Lowasa!
Kwa taarifa yako huyo Mamvi wenu hana Dili tena, sio ndani ya CDM wala ndani ya Ukawa!
Ni sawa na kondomu ikishatumiwa hakuna anayetamani hata kuigusa!!!
Magufuli ndio habari ya mjini!!!
mkuu waache bavicha wajifariji angalau kidogo mkuu,maana kipigo walichopata bado hawaamini
hii mazingaombwe mlishafanya sana peleka huko. mara ni mteule wa mungu mara nabii katabiri ooh gwajima sijui nini. sasa unataka lowassa aseme nini wakati moyoni anajua mshindi ni magufuli. pamoja na kuutaka kufa kupona urais lowassa ni mtu wa amani. anachunga kauli. nyinyi wenye mahaba bila akili mnaweza vunja amani ya nchi.Wadau tukubali tu kwamba katika Mambo mageni tuliyoona kwenye wakati huu ni nguvu na ukubwa wa sauti ya Ukimya wa Lowasa.
Nimejaribu kupitia mabandiko mengi hapa JF na ninaona mengi ni malalamiko au matokeo ya wasiwasi wa ukimya wa Lowasa.
Magufuli ameanza kwa kasi ya ajabu bila kujali uelekeo ili kujaribu kuzima makali ya sauti ya ukimya wa Lowassa.Anatamaani sana Lowasa asahaulike mapema ili apate nafasi ya kujenga jina lake na labda umaarufu wake mwenyewe.
Kwa bahati mbaya kila anachofanya kinaongeza kumbukumbu na ukubwa wa sauti ya Ukimya wa Lowasa.
Wamejitokeza wana CCM humu wanaomshambulia Mbowe,wanamshambulia Mbatia,wanakishambulia CHADEMA na vyama vya ukawa,wanachokoa kwa kijiti wapate majibu.Watu kama Juliana Shonza na Faiza walioumizwa na Ukimya wa Lowasa.
Ni dhahiri sasa taifa limetega sikio,liko makini kiasi kwamba hata sindano ikianguka linasikia,lina kiu na sauti ya mtu mmoja tu, Linateseka kwa ukimya wake,linataka kumsikia Ndugu Edward Ngoyae Lowasa.
Mihemko ya kisiasa inayoongelewa na vyombo vya usalama ni mawimbi tu ya Ukubwa wa sauti ya ukimya, intelijensia inaumizwa na ukimya.Naanza kuipenda falsafa hii ya ukimya.
Ila kama mdau tu wa UKAWA na mwanachama wa kawaida kwenye chama changu nitumie fursa hii kumuomba Ndugu Edward Ngoyae Lowassa aongee kitu, Taifa linaumia.
Ulifanikiwa vipi kutoroka? Wee pia una harufu ya IT team ya mzee! Naona wewe ndo umebaki msumbufu humu, unalia lia tu!Ukiangalia mtiririko wa huu uzi,ukaona ujazo wa povu lililomwagika utagundua kivuli cha Lowassa kinatesa watu!
Nawahakikisha Lowassa akiongea inaweza kuwa msaada kwenu,mnaweza kupona roho zenu.
Hebu mpeni nafasi mzee wetu atuhutubie Jangwani!
hAKUNA kITU kITU kIBAYA kAMA dharau, wewe unadharau wafugaji sio, hakuna shida, endeleaLini umeona mchunga ngombe akipewa nafasi ya kuongea na taifa?
hAKUNA kITU kITU kIBAYA kAMA dharau, wewe unadharau wafugaji sio, hakuna shida, endelea
Kila kitu kinatafsiri mbili .
Tafsiri mbaya na tafsiri nzuri.
Ww umetafsiri vibaya maadiko yangu ingwa mm sikuwa na nia mbaya hiyo ulio iita ya dharau.
Maandiko hayo hayo ungetaka kuyatafsiri vizuri ungeweza kitafsiri.
Lakini pia huwezi kuwa nafkra nzuri kama hukupata malezi mazuri inawezekana umelelewa na mama wa kabu.
Kwahiyo umekulia ktk mazingira ya migogoro na misuguwano nandio athari inayo kuandama..
Hii ni hatari, na ndio ufikiri wa wana CCM walio wengi.wanahisi hatuelewi,wanahisi wanajua kila kitu zaidi ya kila mtu,wanahisi wanaweza kuzungmza au kutenda watakavyo na ikawa sawa tu.
Ukijaribu kuweka hisia zako wazi,mara moja wanaita Kovaaa,Kova njoo mshuhulikie huyu,mfungulie kesi,Muweke sero,msumbue sumbue atuondolee kelele.
Hii ni hatari kubwa!