Recent content by Giannina22

  1. G

    JamiiForums Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Ahsante kwa kutupa historia nzuri.
  2. G

    JamiiForums Kumpiga mkeo sio poa kabisa

    Ni kweli wanaume wasio jiamini ndio wanapiga wake zao na kuwatukana matusi ya nguoni, lakin wakumbuke kuwa hao ni binadam sio wanyama kuna njia nyingi za kutatua migogora hata kawa ameekuudhi lakini sio kupiga huko ni kukosa hekima.
  3. G

    JamiiForums Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Bhatalwisye Alinanuswe
  4. G

    JamiiForums Sheikh Kipozeo: Tujikite katika hoja sio kuanza kumtafuta mtoa hoja

    unahitaji elimu na ukombozi wa kifikra
  5. G

    JamiiForums Msajili Hazina: Watumishi wa Umma wako busy kuomba uhamisho kwenda TRA, EWURA, TANESCO na TPA kufuata maslah makubwa

    duh ko wewe unakula vinavyotoka wapi? acheni kusemea mali za wenzenu eti kisa waisilamu tafuta na wewe zako ndo ututambishie hiyo hoja yako ni ya kitoto kabisa.
  6. G

    JamiiForums Bandari zetu ni masalia tusikubali nazo zitutoke

    Na ikawe hivyo kama tulishindwa kuzipigani rasilimali zetu tulizoaminishwa kuwa zikibinafsishwa zitachangaia ukuaji wa maendeleo lakini mpaka sasa bado nchi ni maskini na wachache ndio wanafaidika. Mungu asimamie hili suala la bandari.
  7. G

    JamiiForums Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    mbona umeishia kwa waziri mkuu je Raisi na makamu wa Raisi nao walikuwa wakristo, punguza mihemko, tafakari kwanza kabla ya kuandika.
  8. G

    JamiiForums Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

    naona kuna watu wanahoji mkataba kwa mihemko badala ya hoja, nadhani watanzania inabidi tuungane kukosoa madhaifu yaliyopo kwenye mkataba ili yarekebishwe, mana athari za mkataba sio za dini moja wala mtu mmoja bali zitatukumba wote pamoja na vizazi vyetu, dini zisituchanganye huu ni wakati...
  9. G

    JamiiForums Uzi maalum wa kutambua kazi kubwa na muhimu inayofanywa na wasanii Roma na Ney wa mitego

    ni vijana walio jitoa kutetea udhalimu, Mungu awasaidie wasikate tamaa. CHUKUENI MAUA YENU
  10. G

    JamiiForums Tunaweza kufanya jambo kwa vijana wanaomaliza darasa la 7, ambao hawajabahatika kuendelea na masomo ya sekondari

    hongera sana Kama utafanikisha hilo Mungu akubaliki pale ulipotoa
  11. G

    JamiiForums Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Kama unamtazamo huo kuhusu single mother basi jitahidi sana na usiwe mmoja wa vijana wanaowapa watoto wa kike ujauzito na kuwakataa na pia unauhakika gani kama huyo uliyenaye yupo salama unaweza kuta ametumika kuliko hata huyo single mother, kikubwa jifunze kuheshimu wanawake
  12. G

    JamiiForums No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

    Unauhakika gani kuwa maoni yako ndo mzuri mana unaweza kulazimsha wazo lako lifanyiwe kazi mbeleni ukaja kujutia mi nadhani hekima na busara ndo inatakiwa itumike zaidi.
  13. G

    JamiiForums No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

    Nimegundua vijana wengi wakiume hawajiamin (Inferiority complex) ndio mana mada za kuwakandia wanawake wasomi haziishi kwa sababu wanataka kuishi na mwanamke ambaye hatowakosoa kwa chochote, inakuwa kama amemmnunua, maisha hayako hivyo mwanamke ni msaidizi wa mumewe anahisia na yeye ana haki ya...
  14. G

    JamiiForums Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Naamin hakuna mtu asiye na makosa au kasoro duniani, JPM alifanya kazi yake kamaliza na waliobaki waache kumkashifu wafanye kazi vizuri tuone matunda na ukomavu wao
Back
Top Bottom