Recent content by ghumpi

  1. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Ninayo program ya kutuma sms kama ile ya Marando

    Mkuu sir burn angalia usijesaidia polisi juu ya kesi inayoendelea
  2. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mkubwa Mariedo Limited

    Mkuu ndonndo nahisi wewe no Mariedo mwenyewe sorry kwa yaliyokukuta ila habri ndo hio , nawe wamekuspot. Lisemwli lipo kama halipo laja~~
  3. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mwanamke aliyeporwa mtoto, Mahakama imejiaibisha...!!

    Njaa mbaya jamani. Hili halihitaji TAKUKURU. Mbaya zaidi Hakimu ni ama, hivi kweli huyu mama anaujua uchungu wa mama? shame
  4. ghumpi

    JamiiForums Tanzania najua unajua lakini jua zaidi

    Mkuu figaniga somo la kiswahili ulipata alama gani vile? Kuna tofauti kati ya L na R naomba ulifanie kazi hili
  5. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kadakabikile hadi kuwa...

    Na huyo bwana avator hapo juu ni wewe halisia mkuu??
  6. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Take Care People!!!Men at Work.

    asante kwa taarifa. tahadhari muhimi jamani, tusitembee na cash nyingi mitaani dunia imeharibika!!
  7. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

    Pole Pdid Mungu atakuangazia. Roho za marehamu wapate uzima kwa mungu na wapimzike kwa amani!! RIP mama yetu
  8. ghumpi

    JamiiForums Tanzania hujui kitu muhimu kwako mpaka

    Mkuu umenena ila kiasi unachochanga haliendani na tatizo la mgojwa kweli atafika india huyu???
  9. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Dr Linda anafukuza wanachuo kwenye majengo ya umma!

    poleni nawashauri mchukue hatua muafaka badala ya kusemea pembeni. 40 yake itafika tu asijifanye yuko juu ya sheria.
  10. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie ni Kitivyo cha Utovu wa Nidhamu?

    Mkuu umenena!!
  11. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Yaliyonipata Muhimbili baada ya kifo cha mwanangu siku ya tar03.03.2012!!!!!

    Mkuu pole sina la kusema hapa. Muachie mungu ila inasikitisha sana, maliza msiba urudi suala hili lijadiliwe kwa mapana.
  12. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

    Spika pole sana. Mongu amlaze mahali pema na awajalie nguvu za kustahimili kipindi kiki kigumu. Pole mkuu
  13. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Yoyo operation nguvu Kazi hiyo!! hahahahaaa
  14. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumdelete mpenzi aliyekutenda ufanyeje?

    Mkuu hujamtendea haki wali mweupe!! mwanaasha????????
  15. ghumpi

    JamiiForums Tanzania Kesho jumatano saa 3 asubuhi maandamano kuanzia kituo cha haki ya sheria tafadhali mwambie mwenzako

    maandamano sio njia pekee ya kutatua tatizo
Back
Top Bottom