Recent content by Ghichichi

  1. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Huu mpira wa bongo bana

    Mbeleko wakati tayari mmeishapigwa miti mara 6 MFULULIZO
  2. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Huu mpira wa bongo bana

    Tulieni, MMEFUNGWA MARA 6 MFULULIZO
  3. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Huu mpira wa bongo bana

    Ww ndo ukasome sheria acha kukurupuka. Kwa maelezo zaidi rejea uchambuzi ws clouds fm wa leo usiku
  4. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

    Yaani ww ni mvulana, siyo mwanaume kamili. Yaani huo ni ujinga wa 100% kwa mwanaume kumpigia mwanamke magoti. Imeandikwa, mwanaume ndio kichwa cha familia
  5. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Likizo inaisha lini?

    Kwa kuwasaidia kufungua code, Mshana ameanza kuuliza swali "Likizo itaisha lini?". Ina maana siyo yeye aliye likizoni. Katikati ya maelezo yake, ameelezea mambo kadha wa kadha hususan mambo ya kupenda camera. Lkn mwishoni amemalizia kwa kusema mambo mawili ambayo hutokea kama hujatoka likizoni...
  6. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Likizo inaisha lini?

    Wenye akili tu ndio tumemuelewa, ambao mlipata F ya hesabu ndo mnabwabwaja, lkn kwa ujumla code inaeleweka
  7. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Likizo inaisha lini?

    Hiyo ni Code
  8. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Umechemka, hakuna ulozi ukuryani
  9. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Siri mauaji ya bilionea wa madini na mwanaye

    Siyo kosa lako, ila uwezo wako wa kufikiria ndio umeishia hapo. Siyo hoteli zote zina CCTV camera, pia, hata kama inazo, siyo muda wote mtu achungulie camera, anaangalia baada ya tukio kutokea
  10. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Ubabe huu wa TEC

    Unafikiri wao ni la pili kama ww?
  11. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Nikiona makalio makubwa yanatingishika napatwa na kizunguzungu, msaada tafadhali

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Niondolee wehu wako hapa, na mama kila kukicha anaupiga mwingi hatua kwa hatua, kama unaona mama anakukera, Dunia ni kubwa hamia nchi nyingine au jifie mwenyewe.
  13. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Koma kumchafua mama, Magufuli alijichafua mwenyewe kwa udikteta wake
  14. Ghichichi

    JamiiForums Tanzania Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Pia Wazanzibari wote mliojenga bara muondoke
Back
Top Bottom