Recent content by gewekk

  1. G

    Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

    Tatizo sio kutumia dolar 100 inawezekana ni Zimbabwean Dolar Halafu hizo nguo za laki saba ambazo zikivaliwa zinatanuka inawezekana ni vinguo vya bei rahisi. Ni kawaida asiyekua navyo akipata matako hulia.....
  2. G

    AIBU: Waalikwa Ikulu kuinuka na kutaka kuondoka kabla hata Rais hajainuka ni aibu

    Watanzania Buana wanapoteza muda kudiscuss vitu vidogo. Protocol, Heshima, Du!!! Magufuli ndio Raisi kwa sasa Kwamba watu wamemchoka, hawataki kumuuliza maswali, anawajibu vibaya na hampendi, either way He is the president, Watanzania tu wepesi kusahau kuwa Mkubwa Hajambi au mnadhani Magufuli...
  3. G

    Jengo la Bilioni 46 kujengwa kwa bilioni 10, natanguliza pole kwa watumiaji

    Hii nchi ya kitu kidogo waliaambaga wasanii wa Kenya Magufili Tuponye Baba.
  4. G

    Kuhusu mke wa Rais: Taasisi ya urais imepotoka

    Watanzania tunaumwa tunahitaji Dawa na dawa imeanza kupatikana Baba JPM lete dawa hata kama ni chungu tutaimeza tutake tusitake, Watanzania mmezoea ubwenyenye ukubwa utabaka kutofautishwa kutokana na ama elimu, uwezo kifedha, cheo, nkn nakuambieni hivi Leo binadamu wote ni sawa hata...
  5. G

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Hiyo ndiyo bingo land swali hili halikupaswa kujadiliwa kwa muda mrefu hivi lkn imekua hivi kwa sababu ya quality ya elimu tuliyoipata
  6. G

    Kupanga nyumba ni nafuu kuliko kujenga yako?

    Ukinipa Mimi milioni 60 nitafanya hivi, moja ninajenga Nyumba ya milioni 60, ninahamia nyumbani kwangu. Mbili ninaweka rehani hati ya Nyumba ninakopa milioni 60 ninazzingiza kwenye hiyo biashara hapa sidaiwi kodi, ninaishi kwa raha bila bugudha with pride na bado napata faida kwenye biashara na...
  7. G

    Habari hii haijanifurahisha kabisa

    Tatizo Watanzania hatuamini kwamba MTU anaweza kuwa mwenye ujuzi unaofaa ni mpaka ajue kuongea kiingereza na akiwa na degree hapo tunanyoosha mikoni lkn ukitafakari sana utangundua utambuzi wa ujuzi kwa njia ya vyeti pasi na kuwa na njia mbadala za kuwatambua watu wenye ujuzi ni tatizo kubwa...
  8. G

    Habari hii haijanifurahisha kabisa

    Tatizo Watanzania hatuamini kwamba MTU anaweza kuwa mwenye ujuzi unaofaa ni mpaka ajue kuongea kiingereza na akiwa na degree hapo tunanyoosha mikoni lkn ukitafakari sana utangundua utambuzi wa ujuzi kwa njia ya vyeti pasi na kuwa na njia mbadala za kuwatambua watu wenye ujuzi ni tatizo kubwa...
  9. G

    Filikunjombe: wabunge wa CCM waoga wanajipendekeza kwa chama badala kwa wananchi

    Deo anajenda ya siri baada ya kuona upepo sio mzuri kwake kwa uchaguzi ujao hata hivyo shida hii haipo kwake tu bali kwa wabunge wote wa chama kikongwe, wanakaubinafsi na alwys kupanga mbinu mpya kuendelea kubaki kwenye nafasi zao, iwe kwa kuwaibia wananchi au kwa kuwafurahisha wananchi, lakini...
  10. G

    Hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini?

    Kuwa muwazi na concentrate na mmoja unayefikiri anakufaa then usikate tamaa usimwambie kila msichana mzuri unayemwona kwenye loacality hiyo hiyo kuwa unampenda maana ikitokea wanaambiana unaweza usipate rafiki maana wataona hauko sirious kumbe wewe unajaribujaribu
Back
Top Bottom