Hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini?

Wee dini gani? Muombe Mungu Yeye ndiye Mpaji. Mke mwema mtu hupewa na BWANA, otherwise utaishia kupata manungayembe ya mjini na mwisho wa siku itakula kwako!
 
hapo nilipo-bold ndio penye utata...kwa umri wako wachumba sahihi wanakuona bwana mdogo sana na utawapotezea muda atleast ungekuwa na age kama 30yrs hivi...ningekushauri kwa age yako uanze kutafuta mademu/girlfriends wa kucheza nao na possibly ma-girlfriend wako wanapatikana form 3-chuo mwaka wa kwanza. ukitafuta wa mwaka wa 4. lazma atakusumbua tuu. pole sana.

Miaka 25 ni kidogo? Kwanza hata hivyo mi staki wa chuo, mi nataka wa form 4 au form 6 tu.
 
Mi ni muislam, namuomba sana mungu, ila naona siku zinaenda sana yaan hadi nashinda kufaham nikiitaji kuoa nitamuoa nani.
 
ndio ni midogo, unatakiwa ukomaae kiakili na sio kuwa na mchumba/mke huku akili bado zimevaa mlegezo na kutupia swagga
wakati mtoto anataka kusaidiwa homework...dogo utakuwa umenielewa...unless unataka ukae na demu uchumba sugu wa 5 years ndio uje umwoe ..

kuhusu form 4-6 nao kushindwa kuwanasa dogo unanitia wasiwasi na skillz zako za kunyatia mashory wakati mpunga wa kuwatega hao watoto wadogo unao... jiongeze dogo sitaki kukuita pm nikupe maskillz ila jifunze kwa washkaji zako ukishindwa nifuate pm nikuagizie tanga kwetu kwa babu akakupatie "mvuaza/mrazaraza" uanze kula kila mzigo unaopita mbele yako
 
Mi ni muislam, namuomba sana mungu, ila naona siku zinaenda sana yaan hadi nashinda kufaham nikiitaji kuoa nitamuoa nani.

kwa mujiibu wa quran tukufu zinaa inazuiwa ..."wallata-karab zinaaa" sasa dogo unapokomalia upate shorty uanze zinaa unaenda kimyume cha misingi ya dini....NDIO MAANA MUNGU HAKUPATII DEMU WA KUFANYA NAYE ZINAA...

ukihitaji kuoa Allah atakupatia akufaaye na kwa nafasi au mapenzi yako....innalah maswaabirinah.
 
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.

Wewe umesoma na ni vizuri upate demu aliyeenda shule si msindikizaji tu maishani mwako. Kwa hili itabidi uvute subira usiende kichwa kichwa kwani mademu wengi wa kibongo ni vicheche (samahani lakini huo ndo ukweli). Kama vipi we chukua tu hata demu wa nchi nyingine ila kwa mademu wa kibongo kuwa mwangalifu sana maana wao hawana mapenzi ya kweli na heshima wamekosa. Kwa bongo unaweza pata demu lakini usije shangaa una share na mijibaba sita ama zaidi na wewe ukawa just a number tu miongoni mwao.
 
maliyamungu, ni kweli bana mi cyo handsome kwa hiyo hii ndiyo sababu?
 
Wewe umesoma na ni vizuri upate demu aliyeenda shule si msindikizaji tu maishani mwako. Kwa hili itabidi uvute subira usiende kichwa kichwa kwani mademu wengi wa kibongo ni vicheche (samahani lakini huo ndo ukweli). Kama vipi we chukua tu hata demu wa nchi nyingine ila kwa mademu wa kibongo kuwa mwangalifu sana maana wao hawana mapenzi ya kweli na heshima wamekosa. Kwa bongo unaweza pata demu lakini usije shangaa una share na mijibaba sita ama zaidi na wewe ukawa just a number tu miongoni mwao.
Kaka mi nawataka hawa hawa wa kibongo, hao wa nje ya bongo sina huwezo wa kuwapata.
 
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.

First and foremost...... Kitu ambacho mabinti wengi wanachukia ni macho juu. Kumkodolea macho kila binti apitaye..

Try this.
1. Zero grazing. Hiyo tabia ya kutupa ndoana kwa kila mmoja, ni namna nzuri ya kuwafukuza.
2. Kuwa mkweli. Ukimdanganya... siku akigundua uwongo wako... God Almighty..!!! Utatamani dunia ipasuke.
 
I got you, ila mi nachukia sana kudanganya, ila hiyo ya Zero grazing itabidi nilifanyie kazi.
 
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.

Kuwa muwazi na concentrate na mmoja unayefikiri anakufaa then usikate tamaa usimwambie kila msichana mzuri unayemwona kwenye loacality hiyo hiyo kuwa unampenda maana ikitokea wanaambiana unaweza usipate rafiki maana wataona hauko sirious kumbe wewe unajaribujaribu
 
Hata uwe na sura kama kiatu cha farasi,kama unajua kutumia mkwanja utawapata tuu,bt na dedicate wimbo uitwao single boy wa Ally Kiba na Lady Jay Dee,hawana mapenzi hawa sumaku ni pesa tuu huwavuta hata wawe wazuri kama pumzi ya asubuhi!
 
Nimekusoma.
 
Nitumie mkwanja kwa mchumba? Then zikikatika au kupungua itakuwaje? Mi sitafuti wa ku do tu, mi nataka niwe nae ili baadae tuwe mimi mume, yeye mke.
 
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.

I'm a date doctor, contact me and will help you how to catch those fishes. No hard feelings:yo:
 
hapo nilipo-bold ndio penye utata...kwa umri wako wachumba sahihi wanakuona bwana mdogo sana na utawapotezea muda atleast ungekuwa na age kama 30yrs hivi...ningekushauri kwa age yako uanze kutafuta mademu/girlfriends wa kucheza nao na possibly ma-girlfriend wako wanapatikana form 3-chuo mwaka wa kwanza. ukitafuta wa mwaka wa 4. lazma atakusumbua tuu. pole sana.

Wachumba gani hao wanaoangalia umri? wengine hapa tuna wachumba waliotuzidi miaka kama 9 hivi. May be the guy is kinder joke and most of women needs somebody serious and there isn't seriousness on his face. Mkuu usisingizie umri asee..:nono:
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom