Recent content by GEWAME

  1. G

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    Mi nipo AR kwa sasa.naomba contact zako mkubwa oldonyo.thanks for prior information
  2. G

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    Mkuu naomba kama wewe una ufahamu zaidi kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii shinyanga vijijini. Huko ndiko nilikopangwa. I will thank you in deed
  3. G

    Wenyeji wa rungwe-mbeya au yeyote!

    Ur 2 open. PCCB watakubamba! Shaur yako.
  4. G

    Mwl.aliye tayari!...

    Tuambie bac mkuu kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii kuko kwan inaelekea unapafaham sana pia kama kuna mwenye namba za afisa elimu wa shinyanga vijijin atupatie pleaz
  5. G

    Mwl.aliye tayari!...

    Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema
  6. G

    Mwl.aliye tayari!...

    Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema
  7. G

    BEST WISHES to all St augustine student

    Tutakuwa wote oldonyo.ila mi nimeugua vidonda vya 2mbo baada ya kusoma nimepangiwa shy v.nataman nichakachue nashindwa kuelewa nifanyeje.
  8. G

    natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi jamani

    Nimepangwa shinyanga (v) kama kuna mtu anataka tubadilishane ani pm waungwana.
  9. G

    Kuajiriwa kwa walimu wapya lini?

    Yote ni ya muhimu .kufundisha na fedha pia.we mwenyewe si unajua hali ilivongumu bila ajira?
  10. G

    Hivi jamani hakuna part time toyote tufanye njaa zimezidi mjini

    Jieleze vizuri una uzoefu katika lipi?
  11. G

    Majina ya viongozi yanayoanzia na david ( daudi kwa kiswahili )

    Viongozi wanaoanzia na jina hili wanaonekana kuwa na matatizo makubwa kwenye uongozi wao 1 David Cameroon 2 David Jairo 3 David Balali ongezea mengine
  12. G

    nina gundu

    Mungu anakuepusha na hatar ya dhambi na magonjwa ya kisasa kaa chini piga magoti ,tubu na umshukuru mungu
  13. G

    tatizo wakati wa tendo la ndoa!!

    Siwez kukushauri ujinga .kasome dogo vayakuta na utayaacha mwenyewd
Back
Top Bottom