Kitu gani kizuri kupita vyote katika maisha ya mwanadamu?

Kuishi peke yangu kwenye msitu mkubwa bila story na aina yoyote ya binada niwe mimi na wanyam tuu na ndio wawe marafiki zangu wakuu
 
kwangu mimi ni pale mtu mwenye shida ya mawazo au fedha nimsaidiapo na anatoka kwenye hiyo shida. Ni raha kubwa kwangu!
 
kitu cha mwanamke kilichonifanywa nifukuzwe edeni ila bado nikikipata najisikia niko heaven.hicho ndo kitamu
 
Unapogundua
na ukaelewa na ukafanya maamuz mazuri
dunia ni yako chaguo ni lako.
Chagua jf kama chombo chako bora cha kukupatia kila kitu unachopaswa kupata au kupewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom