BEST WISHES to all St augustine student

MzungukoMnangani

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
303
81
Hellw wanajamvi,vijana wa st augustine university(mwanza) wanaanza mitihani yao ya kumaliza 1st semester leo tar 23 jan,ve a best of lucky 2 all SAUT student!
 
May God bless u ol watoto wa Rev. Kitima ila mc2mie kamati kwenye mitihani yenu
 
mh!!! kumbe na watoto wa vyuoni mko JF? nilijua kwenu ni FB tu! BTW best wishes
 
all the best manyasi,wasalimie dk safari na dk erikioni.mzee manyanda na st clara,usimsahau alex mapenzi
 
Umenikumbusha,juzi Alex bado kidogo apigwe na LLB3 wakati wa kugawa exam card coz alikuw anazngua
 
Tutakuwa wote oldonyo.ila mi nimeugua vidonda vya 2mbo baada ya kusoma nimepangiwa shy v.nataman nichakachue nashindwa kuelewa nifanyeje.
 
all the best manyasi,wasalimie dk safari na dk erikioni.mzee manyanda na st clara,usimsahau alex mapenzi

we m2 umenikumbusha kitu,dk Safari ana research propozo ngoja nimtafute leo kuanzia hewan hadi aridhin ili niichukue
 
Tutakuwa wote oldonyo.ila mi nimeugua vidonda vya 2mbo baada ya kusoma nimepangiwa shy v.nataman nichakachue nashindwa kuelewa nifanyeje.

ni pm mkuu namba yako 2wasiliane siunajua tena umoja ni nguvu twaweza fanya chochote.
 
Back
Top Bottom