Hivi jamani hakuna part time toyote tufanye njaa zimezidi mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi jamani hakuna part time toyote tufanye njaa zimezidi mjini

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bilionea Asigwa, Nov 19, 2011.

 1. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Wana jf kama kuna mtu ana mchongo wa part time wowote mjini tushirikishane bana
  maana njaa zinaua
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Poleni sana ndugu yangu nikipata ntakushirikisha mkuu ila dont gve up coz there is always hope
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  tanx sana bana maana hii nchi yetu ndo ivyo tena hamna unafuu wowote bwana bora ujishikize maana ata ukisema ukimbie mjini utaenda wp
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Pole mkuu kama vipi tafuta sekondari upige shule hukohuko kitanyooka
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Asieee! Pole sana kamanda. Ila mkuu next time title uwe unaziandika kwa namna nzuri kidogo maana wengine vicheko vyetu viko karibu karibu sana. usijali mkuu Mungu yupo, atakusaidia, endelea kuomba na kujaribu
   
 6. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,873
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  unaweza kuvaa tai kwenye jua kali na kutembeza vyombo vya promosheni.
   
 7. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kweli,huyu jamaa hayupo makini kabisa,nathani hata hiyo kazi sijui kama atapata na akipata ataharibu tu,hiyo taito imenitoa kwenye mudi ya kumpa ushauri kwa kicheko
   
 8. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Kama unao Ushauri we mpe tu,inawezekana ana stress mpaka anashindwa ku-type vizuri,sema nae,msaidie kama una taarifa yeyote ya fursa!!
   
 9. i

  issack_o New Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila mja na siku yake ,yako haijafika ,dont give up its coming.
   
 10. King2

  King2 JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  KUFUGA NGOMBE UPO TAYaRi.
   
 11. G

  GEWAME Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Jieleze vizuri una uzoefu katika lipi?
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yah.Ni vizuri akafunguka zaidi ili watu wajue wanaanzia wapi kumsaidia.
   
Loading...