Nashukuru sana Chikaka. Maoni yako yamenijenga mno na ni vigumu sana kuelezea jinsi mawazo yako (na wengine wengi) yamenijenga kisaikolojia kwa muda mfupi sana. i was felling like im going to die, like im a piece of trash, but kwa mawazo yako nimemanage to get myself together, and start afresh
Hii topic niliipost tarehe 31 May siku ya Ijumaa saa moja na dk 23 jioni. kwenye hiyo blog walipost tarehe 1 June (kesho yake). si unajua kusoma? dont be ridiculous. besides, nashukuru wote kwa ushauri wenu, kweli umenisaidia sana sana na nimejifunza vingi sana!
Maybe hukuisoma hii mada toka mwanzo. mtoto nimemlea tangu akiwa na siku kumi, mama yake akiendelea na masomo. hadi sasa yuko masomoni. sasa atamlea namna gani? atashinda vipi hii kesi ilhali hana vigezo vinavyoonyesha ana uwezo wa kumlea mtoto? atamaliza chuo mtoto akiwa na miaka 6. maybe hapo...
Wakuu I really need ushauri wenu kwenye hili.: Nilipokuwa chuo kikuu third year nilimpa ujauzito girlfriend wangu aliyekuwa anamaliza kidato cha nne. Alijifungua like ten days kabla hajasafiri kwenda kidato cha tano alikopangiwa, wakati huo ndo kwanza namaliza chuo na kurudi nyumbani. So...
this is very true Mr/Ms Rungu. hawa jamaa don't care if ur straight or gay. kuprove hii, hebu nenda kwenye yahoo news hasa ile habari moja kuhusu hiyo policy ya dont ask dont tell ambapo kuna mwanajeshi anaconfess kwa baba yake mzazi kuwa yeye ni gay, halafu andika kitu chochote negative about...
nimesikiliza huo wimbo na inabidi tufikie wakati tuache ushabiki usio na msingi. hivi kuna pointi gani zilizoimbwa humo zaidi ya mashudu matupu ya kutembea na gun, Nig**r words, kupelekana jando na pumba kede wa kede. Home of great thinkers right??
watu gani unaowataja kama wepesi kuua vibaka? waislamu?wakristo?wapagani? na kwa nini nyinyi na mahakama yenu mfuate mfumo huo huo? mnataka kutoa adhabu ya kifo sababu Osama (muislamu) na Saddam Hussein (muislamu) waliuliwa? tatizo lenu mnakumbatia kila kitu mabwana zenu waarabu walichowaachia...
Mbona hujahighlight sehemu zilizoonyesha kuwa waislamu ndio waliofanya NBC ku-recover from a tripling in bad debts? na kama ni hivyo, kwa nini waislamu hao hao washindwe kuanzisha mahakama yao wao wenyewe? sababu wanaonyesha walivyo wazalishaji wazuri na ndo ''wameshikilia uchumi wa nchi hii''?
Kuhusu hicho kitabu cha wakristo unachokiongelea: Yohana 8:7 Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, "Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe." Hao mahakimu wa hiyo mahakama watashushwa toka mbinguni wake kukata watu mikono na miguu, sababu wao wenyewe si...
ofcourse hiyo mahakama haitapunguza jambo lolote kwa hayo yaliyotajwa hapo juu. wakristo hatuna tatizo na nyie waislamu kuanzisha hiyo mahakama kwa sababu ni suala la imani yenu kwa faida yenu. tatizo ni pale mnapoishinikiza serikali hilo suala liwe kwenye katiba ya nchi, hapo ndipo panapozua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.