mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,212
- 867
<br />Tuacheni kutetea upumbavu.......ivi nyie mnaakili sawa sawa kweli kusapoti ujinga anaouufanya sugu....mtu ameingia studio kurekodi albam ya matusi...hii inaonesha hana busara mbele ya jamii...ni muhuni...afu anajitokeza mtu anakemea nyie mnampinga...ebu kueni wakubwa bac
<br />
Umewatusi maelfu ya Wana-mbeya mjini wazee kwa vijana, wake kwa waume waliomchagua Sugu baada ya kuiona busara yake wewe uliyoshindwa kuiona na harakati zake zisizo na chembe ya woga..nadhani humfahamu sugu vizuri zaidi ya kumsikia tu.! Hongereni wana Mbeya kwa kuiona busara ya sugu na kumfanya awe mbunge wenu.