Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

Ni bora waislama waandamane Nchi nzima wadai mahakama hiyo na tuone kama wanaweza ipata .Wao waanzishe kwa nguvu na pesa zao na si kutumia Katiba nk .Au kama hawawezi basi wahamie Zanzibar maana kule iko ila sijui kama iko kwenye katiba yao pia .
 
Unatamani tuhamia Zanzibar, hahami mtu na mahakama itapatikana si kwa ridhaa ya wakristo bali kwakuw ani haki yetu period

Usiulize lini..iko siku itapatikana ..wakati si tatizo..iko siku mtaachia tu..pressure will never end
 
ofcourse hiyo mahakama haitapunguza jambo lolote kwa hayo yaliyotajwa hapo juu. wakristo hatuna tatizo na nyie waislamu kuanzisha hiyo mahakama kwa sababu ni suala la imani yenu kwa faida yenu. tatizo ni pale mnapoishinikiza serikali hilo suala liwe kwenye katiba ya nchi, hapo ndipo panapozua utata!! kwa nini suala la kiimani kama hilo liwekwe kwenye katiba, bila ridhaa yetu sote??
Jibu lako mkuu wangu ni - The Bill of rights.

The Bill of Rights is found in part three of the first Chapter of the Constitution and the fundamental rights and freedom are stipulated in article 12 to 24, article 25 to 28 imposes duties on every individual to duties and obligations to respect the rights of others and society. Article 29 establishes the obligation of society to every individual.Article 30 of the Constitution limits the application of these rights subject to law and the under the due process of law, as the case may be. The Constitution allows any person to challenge any law or act/omission, which contravenes his or her right, or the Constitution.

Halafu tusipende sana kuzungumza vitu bila kuifahamu sheria kwa sababu Katiba imeingilia mambo ya dini toka tumepata Uhuru. Ndoa na mitathi siku zote zimekuwa zikitolewa maamuzi na mahakama zetu kufuatia sheria za asili na dini ndani ya katiba yetu inasema hivi:-
Customary and Islamic Law
The fifth source is the Customary and Islamic law, which are established under section 9 of JALA. Whereby customary law is in effect only when it does not conflict with statutory law whilst Islamic law is applicable to Muslims under the Judicature and Applications of Laws Act, empowering courts to apply Islamic law to matters of succession in communities that generally follow Islamic law in matters of personal status and inheritance.

Sasa ni vizuri sana kuangalia kwa nini Waislaam wamedai wao wenyewe waendeshe mahakama zao (makahama ya Kadhi) badala ya mahakama za Kitaifa. Lakini kutoa majibu rahisi kama alivyofanya JK na Pinda kuwajibu waislaam kwamba swala la mahakama ya kadhi ni swala la kiimani ili hali katiba yetu imeeleza wazi kuwa inatambua sheria za kiislaam ktk kesi za madai na zinafuatwa na kutafsiriwa na mahakama zetu toka mwaka 1977 ni makosa makubwa na upotoshaji zaidi kwa jamii. Kusema kweli JK na Pinda wote wanachemsha wanapojaribu kufanya mazungumzo na waislaam ktk swala la kisheria ndani ya katiba, ikiwa bunge lake waliopewa dhamana na wananchi hawaafiki. JK akubali aliwadanganya waislaam na wakampa kura zao lakini Ikulu na ofisi ya waziri mkuu hawana ubavu wa kuibadilisha katiba bila ridhaa ya wananchi kupitia bunge.

Nachokumbuka mimi waislaam wamedai wao kushughulikia maswala ya ndoa, mirathi na kadhalika kutokana na imani kwamba mahakama zetu hazitoa hukumu za haki kufuata sheria za dini kama walivyoagizwa kikatiba. Na wametoa sababu zao ya kwamba sii rahisi kwa Mkristu ambaye hana imani na Uislaam wala sheria zake kutafsiri sheria na kutoa hukumu za haki kulingana na dini ya kiislaam, hivyo ni bora waislaam wenyewe wapewe dhamana hiyo. Na yawezekana kweli wanasheria wetu hawapewi mafundisho ya sheria za kiislaam ktk kesi za madai hivyo sii rahisi wakaweza kuitafsiri sheria ambayo hawana elimu yake.

Lakini ni katika kuitazama haki na rights za wananchi tunakuta kwamba swala zima la mahakama zetu limekumbatia zaidi Ufisadi na kinachofanyika mahakama ni ni Ufisadi na sii kosa la kutofuata sheria. Binafsi siamini kwamba mwanasheria anaweza kushindwa kuitafsiri sheria za kiislaam kwa sababu sii swala la Imani isipokuwa ni swala la elimu. Kama wanasheria wetu watapewa mafundisho ya sheria za kiislaam kuhusiana na madai.

Nimesoma sehemu kadhaa watu wakitukana sheria za kiislaam lakini wanachoshindwa kuelewa Uislaam ni sheria za Ibrahim, Mussa, Yesu na mitume wote waliomtangulia Muhammad. Sheria zote zipo ktk Biblia na zilifuatwa hata kabla Muhammad hajazaliwa, hivyo sheria hizi sii swala la Muhammad bali ni maagizo ya AGANO LA KALE na kama wewe Mkristu unapingana na mitume waliomtangulia Yesu basi pia unakubali kwamba Agano jipya lilikuja kulivunja Agano la kale badala ya kuliboresha kama Yesu mwenyewe alivyotuambia...
By the way, hakuna mkristu yeyote anayeweza kuja hapa na kunionyesha mahala Yesu kasema alikuja kulivunja Agano la kale,,
 
New Order

Ukikutwa unakojoa barabarani utatiwa SUNA kama utakutwa ujatiwa suna kabla ya kupelekwa Mahakama ya Kadhi!!!. Tuna matatizo mengi yanayotukabili kama jamii, Mabaraza/Jumuia zilizopo zingeanza na hayo zikijihusisha ipasavyo. Takataka zilizotapakaa kwenye mitaa mingi ya jiji la Dar ikiwa ni pamoja na karibu na nyumba za Ibada(Misikiti/Makanisa) ni miongoni mwa matatizo mengi ambayo taasisi tulizonazo zinaweza kufuatilia na kuhakikisha waumini wao wananufaika badala ya kufikiria kuanzisha taasisi mpya zenye malengo mapya. Malengo ya taasisi zilizopo yametekelezwa?
''Kutiwa SUNA'' ndio nini? mbona inasound kama to be amputated? hebu nieleweshe bwana jitume
 
Jibu lako mkuu wangu ni - The Bill of rights.

The Bill of Rights is found in part three of the first Chapter of the Constitution and the fundamental rights and freedom are stipulated in article 12 to 24, article 25 to 28 imposes duties on every individual to duties and obligations to respect the rights of others and society. Article 29 establishes the obligation of society to every individual.Article 30 of the Constitution limits the application of these rights subject to law and the under the due process of law, as the case may be. The Constitution allows any person to challenge any law or act/omission, which contravenes his or her right, or the Constitution.

Halafu tusipende sana kuzungumza vitu bila kuifahamu sheria kwa sababu Katiba imeingilia mambo ya dini toka tumepata Uhuru. Ndoa na mitathi siku zote zimekuwa zikitolewa maamuzi na mahakama zetu kufuatia sheria za asili na dini ndani ya katiba yetu inasema hivi:-
Customary and Islamic Law
The fifth source is the Customary and Islamic law, which are established under section 9 of JALA. Whereby customary law is in effect only when it does not conflict with statutory law whilst Islamic law is applicable to Muslims under the Judicature and Applications of Laws Act, empowering courts to apply Islamic law to matters of succession in communities that generally follow Islamic law in matters of personal status and inheritance.

Sasa ni vizuri sana kuangalia kwa nini Waislaam wamedai wao wenyewe waendeshe mahakama zao (makahama ya Kadhi) badala ya mahakama za Kitaifa. Lakini kutoa majibu rahisi kama alivyofanya JK na Pinda kuwajibu waislaam kwamba swala la mahakama ya kadhi ni swala la kiimani ili hali katiba yetu imeeleza wazi kuwa inatambua sheria za kiislaam ktk kesi za madai na zinafuatwa na kutafsiriwa na mahakama zetu toka mwaka 1977 ni makosa makubwa na upotoshaji zaidi kwa jamii. Kusema kweli JK na Pinda wote wanachemsha wanapojaribu kufanya mazungumzo na waislaam ktk swala la kisheria ndani ya katiba, ikiwa bunge lake waliopewa dhamana na wananchi hawaafiki. JK akubali aliwadanganya waislaam na wakampa kura zao lakini Ikulu na ofisi ya waziri mkuu hawana ubavu wa kuibadilisha katiba bila ridhaa ya wananchi kupitia bunge.

Nachokumbuka mimi waislaam wamedai wao kushughulikia maswala ya ndoa, mirathi na kadhalika kutokana na imani kwamba mahakama zetu hazitoa hukumu za haki kufuata sheria za dini kama walivyoagizwa kikatiba. Na wametoa sababu zao ya kwamba sii rahisi kwa Mkristu ambaye hana imani na Uislaam wala sheria zake kutafsiri sheria na kutoa hukumu za haki kulingana na dini ya kiislaam, hivyo ni bora waislaam wenyewe wapewe dhamana hiyo. Na yawezekana kweli wanasheria wetu hawapewi mafundisho ya sheria za kiislaam ktk kesi za madai hivyo sii rahisi wakaweza kuitafsiri sheria ambayo hawana elimu yake.

Lakini ni katika kuitazama haki na rights za wananchi tunakuta kwamba swala zima la mahakama zetu limekumbatia zaidi Ufisadi na kinachofanyika mahakama ni ni Ufisadi na sii kosa la kutofuata sheria. Binafsi siamini kwamba mwanasheria anaweza kushindwa kuitafsiri sheria za kiislaam kwa sababu sii swala la Imani isipokuwa ni swala la elimu. Kama wanasheria wetu watapewa mafundisho ya sheria za kiislaam kuhusiana na madai.

Nimesoma sehemu kadhaa watu wakitukana sheria za kiislaam lakini wanachoshindwa kuelewa Uislaam ni sheria za Ibrahim, Mussa, Yesu na mitume wote waliomtangulia Muhammad. Sheria zote zipo ktk Biblia na zilifuatwa hata kabla Muhammad hajazaliwa, hivyo sheria hizi sii swala la Muhammad bali ni maagizo ya AGANO LA KALE na kama wewe Mkristu unapingana na mitume waliomtangulia Yesu basi pia unakubali kwamba Agano jipya lilikuja kulivunja Agano la kale badala ya kuliboresha kama Yesu mwenyewe alivyotuambia...
By the way, hakuna mkristu yeyote anayeweza kuja hapa na kunionyesha mahala Yesu kasema alikuja kulivunja Agano la kale,,
Kuhusu hicho kitabu cha wakristo unachokiongelea: Yohana 8:7 Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, "Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe." Hao mahakimu wa hiyo mahakama watashushwa toka mbinguni wake kukata watu mikono na miguu, sababu wao wenyewe si wadhambi? na kuhusu hizo hukumu za kifo, vipi kuhusu watoto au wategemezi wa huyo mhukumiwa, mahakama itabeba jukumu la kuwalea?
 
''Kutiwa SUNA'' ndio nini? mbona inasound kama to be amputated? hebu nieleweshe bwana jitume
Kisha mkuu wangu kwa nini mnakuwa WANAFIKI sana... mbona nyie wepesi sana wa kuua watu hata mkifumania tu, kibaka akikamatwa Manzese mnapiga mawe hadi kuua na wengine kuwachoma moto kwa matairi. Ebu nambieni huyo kada wa CCM aliyekamatwa huko Igunga akitembea na mke wa rafiki yake kweli mngekuwa na mamlaka mngemwacha hai?..
Sina maana naafiki sheria law itumike lakini nashangaa sana kuona Unafiki wa Watanzania na hasa nchi za magharibi ambao kila siku wapo ktk kazi ya kuchochea vita na kuua watu kama wanyama lakini ndio wa kwanza kuhutubia Amani na Utulivu. Nani kati yenu anakubali kwamba Osama angekamatwa na kupelekwa mahakamani?..Nani!
 
Kuhusu hicho kitabu cha wakristo unachokiongelea: Yohana 8:7 Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, "Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe." Hao mahakimu wa hiyo mahakama watashushwa toka mbinguni wake kukata watu mikono na miguu, sababu wao wenyewe si wadhambi? na kuhusu hizo hukumu za kifo, vipi kuhusu watoto au wategemezi wa huyo mhukumiwa, mahakama itabeba jukumu la kuwalea?
Mkuu unashindwa kuitafsiri hii sheria. Yule mwanamke Magdalena alikuwa Malaya na mwanamke hawezi kuwa malaya bila kuwepo mwanamme aliyetembea naye. Wale watu waliomshutumu Maria Magdalena kwa Umalaya ni wao waliotembea naye hivyo kama wao wanajiona wasafi wampige mawe..
Alichokuwa akisisitiza Yesu ni sheria, haki na kwamba mwenye kuwa na uhakika na Umalaya wa mwanamke yule bila yeye kuhusika ajitokeze kwa sababu hakukamatwa ktk kitendo hicho. Wote waligwaya kwa sababu walipitia pale. Mara nyingi sana wananwake wamekuwa victim wa sheria hizi bila kuwahukumu wanaume na hii ilikuwa kurekebisha sheria. Hata baada ya Yesu kusema hivyo sheria ya kuhukumu watu wanaotembea nje ya ndoa iliendelea kuwepo na Yesu hakuikana mahala popote.
 
Na wapagani tunadai mahakama yetu! Hiyo mahakama ikianzishwa ianze kuhukumu kwanza wanaofuga majini wote
 
Hahahaha kudhihirisha jinsi gani ulivyo mdini na mpuuzi unayefikiri kwa kutumia masaburi ulipofunga NBC Account je NBC ilikufa????? Hebu soma hapa kuhusu NBC mwaka huu uzidi kuumia roho na udini wako:-

Absa Group Ltd. (ASA)’s Tanzanian unit expects profit to increase as much as 20 percent in 2011 as it recovers from a tripling in bad debts last year when it adopted new reporting standards.

National Bank of Commerce Ltd.’s net income plunged to 2.2 billion Tanzania shillings ($1.46 million) in the 12 months through December, from 40.8 billion shillings a year earlier, according to a statement on its website. Impairment losses on loans and advances surged to 38.3 billion shillings from 13.8 billion shillings.

“The drop in profit in 2010 was mainly due to a significant impairment charge on loans and advances, and a higher cost of operation in quarter one,” NBC Managing Director Lawrence Mafuru said in a phone interview yesterday from Dar es Salaam, the commercial capital. “We now expect to return to normal performance and increase profitability by 15 to 20 percent.”

Absa, the South African bank controlled by Barclays Plc (BARC), owns 55 percent of NBC, which is planning an initial public offering that would make it the fifth bank to trade on the Dar es Salaam Stock Exchange. Tanzania’s government plans to sell 20 percent of the lender, while Absa and the World Bank’s International Finance Corp. will sell 2.5 percent each.

Last year, NBC adopted a new “group impairment model” and aligned the company with the central bank’s financial reporting standards, said Mafuru, who was appointed as managing director in June.

“Over the past three to four years, we were very aggressive in expanding our credit portfolio, and in such a market you always face challenges of defaulters,” he said. “So we got to the stage where we had to be realistic.”

NBC also installed a $20 million banking system in the first quarter of 2010 that required a change in its Automatic Teller Machine technology, according to Mafuru. That contributed to a 35 percent increase in costs for the year, he said.

To contact the reporter on this story: David Malingha Doya in Dar es Salaam via Nairobi at pmrichardson@bloomberg.net.

To contact the editor responsible for this story: Paul Richardson at pmrichardson@bloomberg.net.
Mbona hujahighlight sehemu zilizoonyesha kuwa waislamu ndio waliofanya NBC ku-recover from a tripling in bad debts? na kama ni hivyo, kwa nini waislamu hao hao washindwe kuanzisha mahakama yao wao wenyewe? sababu wanaonyesha walivyo wazalishaji wazuri na ndo ''wameshikilia uchumi wa nchi hii''?
 
Na wapagani tunadai mahakama yetu! Hiyo mahakama ikianzishwa ianze kuhukumu kwanza wanaofuga majini wote
Ya wapagani mbona ipo siku nyingi.. mimi ndiko humaliza huko matatizo yangu ya kijamii - customary law inatumika, hoja ni kuelewa haki za wengine!
 
Kisha mkuu wangu kwa nini mnakuwa WANAFIKI sana... mbona nyie wepesi sana wa kuua watu hata mkifumania tu, kibaka akikamatwa Manzese mnapiga mawe hadi kuua na wengine kuwachoma moto kwa matairi. Ebu nambieni huyo kada wa CCM aliyekamatwa huko Igunga akitembea na mke wa rafiki yake kweli mngekuwa na mamlaka mngemwacha hai?..
Sina maana naafiki sheria law itumike lakini nashangaa sana kuona Unafiki wa Watanzania na hasa nchi za magharibi ambao kila siku wapo ktk kazi ya kuchochea vita na kuua watu kama wanyama lakini ndio wa kwanza kuhutubia Amani na Utulivu. Nani kati yenu anakubali kwamba Osama angekamatwa na kupelekwa mahakamani?..Nani!
watu gani unaowataja kama wepesi kuua vibaka? waislamu?wakristo?wapagani? na kwa nini nyinyi na mahakama yenu mfuate mfumo huo huo? mnataka kutoa adhabu ya kifo sababu Osama (muislamu) na Saddam Hussein (muislamu) waliuliwa? tatizo lenu mnakumbatia kila kitu mabwana zenu waarabu walichowaachia. ni dini gani inayohubiri jino kwa jino na chuki na kuabudu majini?
 
Jibu lako mkuu wangu ni - The Bill of rights.

The Bill of Rights is found in part three of the first Chapter of the Constitution and the fundamental rights and freedom are stipulated in article 12 to 24, article 25 to 28 imposes duties on every individual to duties and obligations to respect the rights of others and society. Article 29 establishes the obligation of society to every individual.Article 30 of the Constitution limits the application of these rights subject to law and the under the due process of law, as the case may be. The Constitution allows any person to challenge any law or act/omission, which contravenes his or her right, or the Constitution.

Halafu tusipende sana kuzungumza vitu bila kuifahamu sheria kwa sababu Katiba imeingilia mambo ya dini toka tumepata Uhuru. Ndoa na mitathi siku zote zimekuwa zikitolewa maamuzi na mahakama zetu kufuatia sheria za asili na dini ndani ya katiba yetu inasema hivi:-
Customary and Islamic Law
The fifth source is the Customary and Islamic law, which are established under section 9 of JALA. Whereby customary law is in effect only when it does not conflict with statutory law whilst Islamic law is applicable to Muslims under the Judicature and Applications of Laws Act, empowering courts to apply Islamic law to matters of succession in communities that generally follow Islamic law in matters of personal status and inheritance.

Sasa ni vizuri sana kuangalia kwa nini Waislaam wamedai wao wenyewe waendeshe mahakama zao (makahama ya Kadhi) badala ya mahakama za Kitaifa. Lakini kutoa majibu rahisi kama alivyofanya JK na Pinda kuwajibu waislaam kwamba swala la mahakama ya kadhi ni swala la kiimani ili hali katiba yetu imeeleza wazi kuwa inatambua sheria za kiislaam ktk kesi za madai na zinafuatwa na kutafsiriwa na mahakama zetu toka mwaka 1977 ni makosa makubwa na upotoshaji zaidi kwa jamii. Kusema kweli JK na Pinda wote wanachemsha wanapojaribu kufanya mazungumzo na waislaam ktk swala la kisheria ndani ya katiba, ikiwa bunge lake waliopewa dhamana na wananchi hawaafiki. JK akubali aliwadanganya waislaam na wakampa kura zao lakini Ikulu na ofisi ya waziri mkuu hawana ubavu wa kuibadilisha katiba bila ridhaa ya wananchi kupitia bunge.

Nachokumbuka mimi waislaam wamedai wao kushughulikia maswala ya ndoa, mirathi na kadhalika kutokana na imani kwamba mahakama zetu hazitoa hukumu za haki kufuata sheria za dini kama walivyoagizwa kikatiba. Na wametoa sababu zao ya kwamba sii rahisi kwa Mkristu ambaye hana imani na Uislaam wala sheria zake kutafsiri sheria na kutoa hukumu za haki kulingana na dini ya kiislaam, hivyo ni bora waislaam wenyewe wapewe dhamana hiyo. Na yawezekana kweli wanasheria wetu hawapewi mafundisho ya sheria za kiislaam ktk kesi za madai hivyo sii rahisi wakaweza kuitafsiri sheria ambayo hawana elimu yake.

Lakini ni katika kuitazama haki na rights za wananchi tunakuta kwamba swala zima la mahakama zetu limekumbatia zaidi Ufisadi na kinachofanyika mahakama ni ni Ufisadi na sii kosa la kutofuata sheria. Binafsi siamini kwamba mwanasheria anaweza kushindwa kuitafsiri sheria za kiislaam kwa sababu sii swala la Imani isipokuwa ni swala la elimu. Kama wanasheria wetu watapewa mafundisho ya sheria za kiislaam kuhusiana na madai.

Nimesoma sehemu kadhaa watu wakitukana sheria za kiislaam lakini wanachoshindwa kuelewa Uislaam ni sheria za Ibrahim, Mussa, Yesu na mitume wote waliomtangulia Muhammad. Sheria zote zipo ktk Biblia na zilifuatwa hata kabla Muhammad hajazaliwa, hivyo sheria hizi sii swala la Muhammad bali ni maagizo ya AGANO LA KALE na kama wewe Mkristu unapingana na mitume waliomtangulia Yesu,,

Mkuu Mkandara
Nimefurahi tena kuona maelezo yako. Ninapenda kujua toka kwako siyo ninania ya kukushambulia binafsi la hasha bali wka vile una maelezo sahihi, ya ukweli na kwa hoja. Sikuweza kuona majibu ya maswali yangu katika lile thread nyingine labda imefutwa sikuweza kuona.

Nilibahatika kuona mjadala wa mada hii kwenye chanel 10 wiki moja za kabla kidogo kati ya James Mbatia na Shekh moja (kama sikosei Bwasaleh) ambaye nilimpenda pia kwa vile alisema ukweli kuwa Waislamu hawawezi kuendesha mahakama hiyo bila usimamizi wa serikali kwa vile wataenda mbali sana na kuthibitisha hili alitoa mfano wa waislamu Somalia kupiga marufuku sambusa kwa kuifananisha na utatu mtakatifu kwa pembe zake tatu. Mbatia mara zote alikataa kujibu hoja za shekh kwa vile aliona siyo sahihi kwake kwa vile yeye ni mwanasiasa na mwenzake ni kiongozi wa dinii, hawakuwa kwenye frikwensi inayofanana. Mbatia alinukuu katiba ambayo kwangu mimi imefafanua vizuri.

Japo nina maswali mengi kwao lakini naomba nije kwenye mada yetu hii na mchango wako.

Kwanza umenichanganya labda nimeelewa vibaya unaonyesha kuwa tafsiri sahihi ya sheria ya ndoa, mirathi na kadhalika itafanywa vizuri na makadhi lakini hapo kwenye green bado unaonyesha kuwa mahakama ya kiraia inao uwezo bali tatizo ni ufisadi. Sasa hapa upo wapi?

Pili je hukumu ya haki ikitolewa na mtu yeyote bila kujali imani yake itakuwa siyo sahihi kwa masuala hayo ya kiislamu? Je kwa nini waislamu wasidai kurekebisha sheria ambayo haiendani na imani yao na isiyo yahaki?

Tatu, Je Mkandara unaamini kuwa haki ni universal thing ambayo haiangalii imani, jinsia, rangi wala sehemu ya kijiografia ya mtu?

Nne, Ninauhakika kuwa unajua makanisa mengine nayo yana sheria zao kama kanisa katoliki, Je wewe utakubali nao wtumie mahakama yao ikubaliwe na waislamu? Yaani wewe kama ni muislamu umeoa mke mkristo usioe mke mwingine kwa vile sheria ya kikristo hairuhusu mke zaidi ya moja?

Tano kwanini waislamu wasikubali kuunda mahakama yao ya kadhi bila kutumia nguvu za dola? Je kutumia nguvu za dola siyo kuvunja katiba ya uhuru wa kuamini au hiyo haina shida? Je mfumo wa mahakama ya kadhi nilazima ufuate wa kiserikali, hakuna namna nyingine?

Japo ninashida sana kuona mtandao nitarudi kuangalia majibu yangu haya.

Nashukuru kwa kunielewa na kunielewesha. Mimi si mwanasheria wala sina nafasi yeyote ndani ya siasa wala kikanisa.
 
Mlipa kodi mkubwa ktk JMT ni TBL (kampuni ya bia). Je waislamu mko tayari mahakama ya kadhi kuendeshwa na kodi zinazotokana na vileo? Mbona waislamu mnajichanganya?

MoU ya serikali na makanisa ilisainia miaka ya hivi karibuni. Je kabla ya hiyo MoU hivi hizi taaisisi za kikiristo zilikuwa hazijiendeshi zenyewe?. Jamani hivi nyinyi waislamu jaribu kufikiri leo hii DDH (Designated District hospitals) zote pamoja na mahosipatli ya rufaa kama Bugando, KCMC yaanze kutoa hizi huduma kwa wakiristu tu, I'm sure more that 90% ya waislamu mtakufa kwa cholera, safura, utapiamlo, and any other treatable diseases. Baniani mbaya kiatu chake dawa bana.

Waislamu na serikali washukuruni sana wakiristo kwa kuwapa hizo huduma za kijamii bila ubaguzi. mmelilia mahakama ya kadhi haya sasa mmepewa tuone sasa kama ndiyo itajenga shule na mahospitali. Waislamu mnazidiwa hata na wahindu, wanazo Hindu Mandal hospitals nyinyi eti mmekalia kujenga misikiti tu. A SOUL NEEDS TO STAY IN HEALTHY BODY. Hili ndiyo somo la leo
 
Hata kama MoU ingefanywa kati ya Private hospitals and schools wangeweza kutoa huduma kwa watu wote bila kubagua kwa hiyo sioni kwanini waweke mkataba na hospitali za kanisa? ubaguzi at its highest level!

Bila MoU hakuna hospitali wala chuo cha kikristo..waliposhindwa kuziendesha ndio wakaja na huo mpango wa kifisadi

Kabla ya 1992 wakristo hawakuwa hata na chuo kimoja..ni baada ya kupokea hela za serikali bila auditing wakajenga ..mnaringia kusaidiwa?

Mnapenda na kutetewa mikataba ya ubaguzi na upendeleo..akili matope...
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
Deo,
kwanza nashukuru sana kwa kuja na maswali yenye ufunuo na sii matusi kama jamaa wengine wanaokuja na jazba hali wakijua siku zote hasira hutoa mswali yasiyokuwa na mantiki..Nitajaribu kukujibu niwezavyo
Kwanza umenichanganya labda nimeelewa vibaya unaonyesha kuwa tafsiri sahihi ya sheria ya ndoa, mirathi na kadhalika itafanywa vizuri na makadhi lakini hapo kwenye green bado unaonyesha kuwa mahakama ya kiraia inao uwezo bali tatizo ni ufisadi. Sasa hapa upo wapi?
Hapa nataka uelewe ya kwamba sii kweli... Swala la hukumu ya kesi za madai sii swala la waislaam tu isipokuwa lipo ktk katiba yetu na linatambuliwa na kufuatwa siku zote toka tupate uhuru..Hukumu ktk kesi za kiislaam zinatakiwa zitolewa kwa kufuata sheria za kiislaam hivyo argument ya wakristu kwamba hii ni secular na sheria iwe moja ni uongo na upotoshaji kwa sababu hatujawahi kufanya hivyo.. Katiba inatuelimisha na nimeweka kifungu hapo juu..
Pili, waislaam na hasa hao masheikh wanachokitaka ni wao kuchukua dhamana la kutoa hukumu hizo badala ya mahakimu wetu wakidai kuwa ni wakristu hawajui sheria za kiislaam. Na ukitazama upo ukweli kwa sababu sidhani kama mahakamimu wetu wanazijua sheria za kiislaam ktk kesi za madai kiasi kwamba waweze kuzitafsiri. Sidhani kama unaposomea sheria chuo kikuu au vyuo vyetu, hujifunza pia sheria za kiislaam ktk madai na kama wanafanya hivyo swala la kujiuliza ni kwa nini basi mahakimu wetu wanatoa hukumu kinyume cha sheria za kiislaam na katiba inavyowataka..
Pili je hukumu ya haki ikitolewa na mtu yeyote bila kujali imani yake itakuwa siyo sahihi kwa masuala hayo ya kiislamu?
Binafsi siamni kwamba ni lazima hukumu za madai ya kiislaam zitolewe na Muislaam. Huu ni ujinga mtupu isipokuwa hukumu za kiislaam zinatakiwa kutolewa na mtu anayejua sheria za kiislaam kufuatia kesi za madai hivyo mahakamu wetu wanaweza kabisa kutoa hukumu za haki kama wamesoma na watafuata sheria za dini. Lakini pia kulingana na WATU na MAZINGIRA ya rushwa ni vigumu sana kwa mkristu kuogopa sheria za kini asiyoiabudu ama sidhani kama Marekani wanaamini mahakama zetu ktk kutoa hukumu ya kosa la Mmarekani japokuwa tunafuata sheria moja.
Je kwa nini waislamu wasidai kurekebisha sheria ambayo haiendani na imani yao na isiyo yahaki?
Swala sii kurekebisha sheria kwani sheria zipo tayari ndani ya sheria zetu na zinatumika, tatizo la waislaam ni pale mahakama zetu zinapotoa hukumu kinyume cha katiba na kutumia zaidi sheria nje ya Uislaam ktk kesi za madai, hivyo wamefikia kuona kwamba ni waislaam tu wanaoweza kuifanya kazi hiyo. Mahakama zetu kama watafuata sheria za dini kama walivyoagizwa na Katiba sidhani kama tungekuwa na tatizo hili.
Tatu, Je Mkandara unaamini kuwa haki ni universal thing ambayo haiangalii imani, jinsia, rangi wala sehemu ya kijiografia ya mtu?
Mkuu wangu ktk hili naamini na siamini.. naamini usawa wa binadamu lakini sii katika maswala ya hukumu sababu sisi wote binadamu tuna mila na tamaduni zetu ambazo ndizo zinalijenga Taifa letu. Leo hii ukienda hata Marekani utakuta kila state ina sheria zake ambazo zinaweza kuwa pinzani na state nyingine pamoja na kwamba wote wanakubaliana ktk haki za binadamu. Uingereza ni taifa lililopatikana kupitia dini ya Kikristu hivyo sheria zake zimekumbatia mambo mengine ambayo yapo kinyume cha Watanzania, hivyo tulipo zi -copy na kuzitumia tumeondoa haki ya watu wengine ambao sii wakristu na hakika Taifa letu halikutokana na dini moja. Na ndio maana kuna vipengele ndani ya sheria yetu kuhusiana na customary na Islamic law ili kukidhi hoja za kiimani kwa wananchi wangineo.
Nne, Ninauhakika kuwa unajua makanisa mengine nayo yana sheria zao kama kanisa katoliki, Je wewe utakubali nao wtumie mahakama yao ikubaliwe na waislamu? Yaani wewe kama ni muislamu umeoa mke mkristo usioe mke mwingine kwa vile sheria ya kikristo hairuhusu mke zaidi ya moja?
Mkuu wangu pengine tunaposhindwa wengi kuelewa ni kwamba Waislaam wameomba mahakama ya kadhi baada ya mahakama zetu kushindwa kutoa hukumu zinazofuata sheria ya kiislaam kama walivyoagizwa na katiba. hapa ndipo kwenye matatizo, kama mahakama zetu wangekuwa wakitoa hukumu za kulingana na maagizo ya kikatiba tusingekuwa na hoja hizi. Wakristu hawahitaji mahakama zao kwa sababu hukumu zinatolewa kufuatana na sheria zao za madai. hali waislaam wamekuwa wakihukumiwa ktk hali hiyo toka mahakama ya kadhi imeondolewa.
Katika swala la ndoa mkuu wangu hapa hatushindani, wewe mkristu unaweza kukataa kuoa muislaam na isiwe unavunja haki kwa sababu haki inayotazamwa ni yako wewe. Bill of right inakulinda wewe na imani yako kama ilivyosema - The consitution allows any person to challenge any law or act/omission which contravenes his/her RIGHT or the constitution..

Hawa mahakimu wetu wamekuwa wakitoa hukumu kinyume hivyo Waislaam wanayo haki ya ku challenge. Nikioa mkristu ina maana nimeondoka ktk Uislaam kwa sababu kama nilivyowahi kusema huko nyuma tatizo la Muislaam na mkristu kiimani ni pale Mkristu anaposema - YESU ni MUNGU! - basi..
Lakini kwa yule mkristu ambaye anaamini kuna Mwenyezi Mungu na YESU ni masihi, mjumbe wa Mwenyezi Mungu, huyu Muislaam unaruhusiwa kumuoa...Nisome hapa vizuri..Hivyo basi ukimsikia Muislaam anasema wewe mkristu (kwa tafsiri yetu) huwa na maana wewe unaamini Yesu ni Mungu.

Tano kwanini waislamu wasikubali kuunda mahakama yao ya kadhi bila kutumia nguvu za dola? Je kutumia nguvu za dola siyo kuvunja katiba ya uhuru wa kuamini au hiyo haina shida? Je mfumo wa mahakama ya kadhi nilazima ufuate wa kiserikali, hakuna namna nyingine?
Mkuu wangu hapa ndipo wakristu wanapotaka kupotosha ukweli. Katiba yetu inajieleza wazi kwamba inatambua waislaam na ibada zao. na hapo nyuma nimekuwekea Customary and Islamic Law.. kutoka ndani ya katiba yetu sasa mnaposema tunavunja uhuru wa kuamini huwa tunavunja uhuru wa nani? Je, kupinga kwetu sio sisi tunavunja haki na uhuru wa Muislaam kuabudu..Na kikubwa zaidi tunatakiwa kufahamu ya kwamba Katiba inawatumikia wananchi ktk imani zao. Katiba inaposemna serikali haina dini isipokuwa wananchi ndio wenye dini ina maana ya kwamba serikali yetu sii kama ya Uingereza au Marekani ambao wamekumbatia Ukristu isipokuwa serikali yetu itawawezesha wananchi wake wenye imani tofauti kuweza kufanya ibada zao nakama umesoma hapo juu imeeleza wazi kwamba ni sheria za kiasili ndizo hazitafuatwa kama ni pinzani na statutory law sii sheria za kiislaam.

Zipo njia ambazo zinaweza kufanyika na binafsi ktk makala zangu za nyuma niliwahi kusema binafsi siafiki mahakama ya kadhi kwa sababu watu ni wale wale tu Mafisadi na wanataka kuitumia dini ili nao wapate ajira au kuvuta. Tatizo kubwa la nchi yetu ni Ufisadi na mahakama zetu zimekuwa zikitoa hukumu kulingananna uwezo wa mshtaki au mshtakiwa kutoa rushwa. Waislaam wanatakiwa kuzama zaidi kutazam source ya tatizo la hukumu hizi badala ya kukimbilia mahakama ya kadhi kama walivyofanya kuikubali Bakwata. Nina hakika kama serikali itafuatlia na kuweka mkazo kwa mahakama zetu kufuata sheria za kiislaam..Mbali ya yote haya, hakuna ndoa ya kiislaam siku hizi watu tunadanganyana tu.. hao hao Masheikh wanaopiga kelele wana watoto wa nje kibao na hofu yangu ni maslahi ya hawa watoto kwa sababu kisheria watoto hawa hawatakiwi kutambuliwa.
Nashukuru kwa kunielewa na kunielewesha. Mimi si mwanasheria wala sina nafasi yeyote ndani ya siasa wala kikanisa
. Hata mimi mkuu wangu ni mwanaharakati tu ambaye najaribu kutazama pande mbili za sarafu bila kujali imani yangu mwenyewe.
 
Kam lip silijui?
<br />
<br />
nimekuwa nikifatilia post zako muda mrefu sana mkuu,
nakushauri tu,ondoa hulka ya udini na kuonewa kichwan kwako!
By so doing,unaweza kujenga hoja strong,watu tukakuelewa hapa jukwaani!
Goodlucky mkuu!
 
Back
Top Bottom