Recent content by gesselle

  1. gesselle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mtarajiwa kaharibiwa

    Zamani ulimuona wapi wakati unasema hujawahi kufanya nae mapenzi? Pili ulimuonaje huko nyuma kama nawewe sio mchezo wako Nitasema kweli daima
  2. gesselle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

    Weka picha please Nitasema kweli daima
  3. gesselle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesho Lazima niondoke Tanga

    Hahaha wewe hatareeee Nitasema kweli daima
  4. gesselle

    JamiiForums Tanzania Wenye network na sponsor wa research

    Tuwasiliane mkuu ni PM kama tunaweza tukafanya hiyo kazi Nitasema kweli daima
  5. gesselle

    JamiiForums Tanzania Maswali mengine !!!!"!

    Ilijulikanaje kwamba Nitasema kweli daima
  6. gesselle

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida za kumeza manii kwa wanawake

    Mmh humu wapo waliowahi kuonja ndio Na wasubiri. Nadhani Na wewe uliwahi kuonja Nitasema kweli daima
  7. gesselle

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji line ya tigo tigopesa na navodavodacom vodacomM-pesa

    Kwani kwenye makampuni hazipatikani? Acheni ujinga hiyo ni kinyume cha sheria Nitasema kweli daima
  8. gesselle

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida za kumeza manii kwa wanawake

    Nataka kujua ladha yake Kwa aliewahi kumeza Nitasema kweli daima
  9. gesselle

    JamiiForums Tanzania KARIBUNI JF Shopping mall uwe wa kisasa!

    Nashauri mtu akitupia ataje binapatikana wapi hapa bongo ili iwe rahisi kununua Nitasema kweli daima
  10. gesselle

    JamiiForums Tanzania Kajala na Clement Mambo Hadharani

    ndio mana nilisema wanawake akili zenu moja Na hamna huruma mumewe alijitoa waishi maisha mazuri kapata matatizo sasa Ana achia watu wanamlia jamaa tunda tena Kwa matangazo dunia nzima ijue. Amakweli wanawake tuishi Na nyie Kwa wema but sio watu nyie Nitasema kweli daima
  11. gesselle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuvua pichu pasipo kupenda

    Akiomba samvu sasa inakuwaje utajiondoaje. Wengine ukienda hivyo wanajua mchezo wako ni enzi zile za sodoma utafanyaje sasa Nitasema kweli daima
  12. gesselle

    JamiiForums Tanzania Mvua yaleta madhara Lushoto

    Asante mghoshi Kwa kutuambia Nitasema kweli daima
  13. gesselle

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha usidanganye bunge

    Leo nimeshangaa sana wakati waziri wa fedha alipokuwa anatoa muongozo Kwa kusema mshahara wa watumishi ulitolewa tokea tarehe 24/5. Ila mifumo ya benk Imechelewesha. Mpaka Leo ndio baadhi ya mikoa watumishi wameanza kupata mishahara dar Es salaam tarehe mbili Baada ya walimu kumibia rais...
  14. gesselle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam FC Kununua Ndege kubwa!!!

    Hii ni tetesi su Nitasema kweli daima
  15. gesselle

    JamiiForums Tanzania Kajala na Clement Mambo Hadharani

    Ninachosema mumewe anamatatizo asietulia akamuombea mumewe yeye analiwa tunda la kati tu. Hazarani halafu wewe unamsaport Nitasema kweli daima
Back
Top Bottom