Azam FC Kununua Ndege kubwa!!!

Azam FC Kununua Ndege kubwa!!!

huyu m2 ni tajiri sana. Huwaga anaikopesha serikali.

TRL na TPA wakiwa na dharura ya pesa hupewa cheque in advance ya service.Nakumbuka bajeti ya mwaka jana Mwakyembe alishukuru kwa kupewa pesa na Bakhresa kuchangia bajeti ya uchukuzi.SIFA KUU YA BAKHRESA HANA MKOPO KTK BENKI ZA NDANI
 
Wakati wengine wanafikir kununua ndege wengine wanafyeka viwanja vyao kwa makwanja wengine sasa wanataka kujenga kiwanja cha mpira bwawani.......dunia ina mambo
 
Kichwa cha habari ndege kubwa...kubwa kuliko caravan,kubwa kuliko gulf stream,kubwa kuliko 737 au???
Hata kama ni Cesna...Azam watakuwa wameingia kwenye vitabu vya historia kwakuwa team ya kwanza ya mpira wa miguu kumiliki ndege Tanzania....that is progress
 
saaaaaaafi.....kijana anampita babu urefu ha ha ha..
 
ndiyo maana nikasema huna hoja zaidi ya ushabiki! mbona majina ya akina rostam aziz, yusuph manji (mwenyekiti wa timu ya yanga), and the like hawamo katika hiyo orodha ya walipa kodi wakubwa? kazi ya kukusanya kodi ni ya TRA labda ungewauliza wakakwambia ni kwa nini bakhresa group hawako kwenye hiyo orodha ya walipa kodi wakubwa!
 
TRL na TPA wakiwa na dharura ya pesa hupewa cheque in advance ya service.Nakumbuka bajeti ya mwaka jana Mwakyembe alishukuru kwa kupewa pesa na Bakhresa kuchangia bajeti ya uchukuzi.SIFA KUU YA BAKHRESA HANA MKOPO KTK BENKI ZA NDANI

kampuni zake zina mikopo
 
Hongera yake, nadhani ni vilabu hivi vikongwe vitaiga....
 
you just as ignorant and dumb as a donkey! you know nothing about tax issues! wewe unafanya kazi TRA, una ushahidi gani kuwa halipi kodi? unaweza kutuamabia yusuf manji analipa sh ngapi TRA kama kodi?

Inaelekea wewe ni kuadi wa Azam,unabishana mpaka na ukweli.thn hushirikishi ubongo kujibu maswali
 
Mmiliki wa Azam FC said s.Bakhresa amewasilisha maombi ya kupata leseni kurusha ndege kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu Azam Fc.Maombi hayo yameshapokelewa na TCAA

Angoje financial fair play ije Africa ndo atajua
 
Wazee wa misuli wa jangwani na msimbazi wanaendelea kupigwa madochi, kazi wanayo sasa, itabidi waunganishe timu zao vs Azam!
 
safi sana ila definition ya ndege kubwa nashindwa kuielewa kama ni kubwa ya saizi gania aisee au ni aina gani
 
kwa nini usipuuzwe na wewe? mahaba yako kwa yanga yanakufanya uwe na chuki na kila kinachofanywa na azam!

Mkuu umepatia, uamuzi wa kunipuuza ni wako. Kwa hakika Simba siipendi lakini Azam naichukia mno mno. Hivi sasa nimeacha kutumia products zao zote maana tunawakuzia biashara na kuwapa nafasi ya kufanya kufuru. Nikiona maandazi ya Azam ni kama mavi ya punda, nikiona ice cream za Azam ni kama maji machafu yatokayo sehemu za siri, nikiona maji ya Azam ni kama mkojo wa choo cha baa n. k. mengine ongezeeni jamani.
 
Nami naongeza....Ukiona bidhaa za azam usipate presha. Siku utakapokosea kupanda boti ya azam, jirushe baharini.
 
Back
Top Bottom