Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
mkuu sina uhakika kama zinaanikwa, maana muda wote zimelowana na mimi naogopa kuuliza kama zinaanikwa, kinachoniogopesha hata sikijui, sijui dawa?
Zishaoza hizo.
mkuu sina uhakika kama zinaanikwa, maana muda wote zimelowana na mimi naogopa kuuliza kama zinaanikwa, kinachoniogopesha hata sikijui, sijui dawa?
nitanunua zingine mkuu.
RIP nyumba ndogo yangu ya Tanga.
Nimeingia Tanga tokea wiki iliyopita kwa kazi binafsi, kama mnavyojua mambo ya Tanga, msemo wa waja leo warudi leo haupo tena, wanasema waja leo kurudi majaliwa, kwa kweli kuondoka imekuwa majaliwa, kila nikipanga kuondoka linaibuka jipya, hadithi za kwamba ".... oh mpenzi nguo nimeloweka..." nilikuwa nazisikia tu, kuna zaidi ya hayo, ukarimu wa watu hawa umepindukia jamani, nimeapa kesho liwalo na liwe, nitaondoka na nguo mbichi na hata ikibidi bila nguo, potelea mbali.
safari imesogzwa mbele mkuu.