Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

Love a man for who he is.

A Bongo Movie "Star" Doesn't make him a better man than any other.

Women let us learn to see men for who they really are beneath their clothes, status or whatever.

Then the True Love which has seemingly become so elusive in recent times might just be ours!
Sounds so damn right!

BTW i like that mind!
 
Nasikia wengi huko bongo muvi wengi ni mashoga. Kazi kwako mama
 
uuh! kumekucha!..thanx kwa wote mlioachangia,chochote ulichoandika kitanisaidia...nashukuru..napapenda sana jf ndo nyumbani
 
Vaislay Mke Mwenza.....Upo Wapi Mamy?!,,. I Miss U Nyang'anyang'a!....
 
Mmmh haya angalia lakini?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Enjoy the moment my dia,love ur man now usijali kama atabadlika hapo baadae hiyo itakufanya uishi kwa wasiwasi mwishowe uanze kuharibu uhondo
Haijalishi he is a star and they are characterized with bad behaviour may be that man is among few who are different,love now,enjoy his belongness now and let the future take care of itself
A6
 
Vaislay Mke Mwenza.....Upo Wapi Mamy?!,,. I Miss U Nyang'anyang'a!....
nipo hapaa dia kipenzi mke mwenzangu.....

Naona watu wanatukatisha tamaa jamani, hebu tumshikilie vizur hubbitito ili tuje kuwawekea sired ya mwaliko..
 
uuh! kumekucha!..thanx kwa wote mlioachangia,chochote ulichoandika kitanisaidia...nashukuru..napapenda sana jf ndo nyumbani

Unalala humu? Huna shughuli ya kufanya?


Just like the old days
 
hivi na wanavyoigizaga bongo muvi si kama kweli?!
 
Unalala humu? Huna shughuli ya kufanya?


Just like the old days

samahani Rogie...hujalazimishwa kuchangia chochote hapa...unaweza pita tu kama huoni wala hamna atakae kuita..naimani pilipili nailamba mimi wewe yakuwashia nini?

halafu sio kama nalala jf mimi sio mods wa hapa eeh..we ungekuwa hulali na imani hata hapa usingepaona

mxiuuuuuu.....
 
nipo hapaa dia kipenzi mke mwenzangu.....

Naona watu wanatukatisha tamaa jamani, hebu tumshikilie vizur hubbitito ili tuje kuwawekea sired ya mwaliko..

aah wala ucjal mke mwenza wangu!..tumeamka vyema,tulikuwa tunapigana na mito mda si mrefu katoka kaenda kazini,na mimi ndo najiandaa hapa mama yake kaniita tukashinde wote kwake nimpikie.,keshakuwa shost yangu tena!.

hlf kuna thread nimeona unarumbana angalia wasikuharibie siku leo tena mapema hivi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom