Recent content by germstone jnr

  1. G

    UKAWA PAWAKA: Mazungumzo ya Siri Yakijadili Nafasi ya Urais Yanaswa!

    SAMAHANI hivi Prof. atakuwa anagombea mara ya ngapi vile ? mambo ya CUF na ADC ya Hamadi Rashidi yameshakaa sawa?
  2. G

    CHADEMA is falling apart-wazee wa chama ndio wa kulaumiwa

    Limbu alituambia katiba ya ACT - Tz hairuhusu mwwanachama mpya kugombea kabla ya kuwa chamani si chini ya miezi 6 ni kweli ? kama ni kweli ilikuwa sahihi kubadili katiba ili tu kuwezesha wasio kidhi vigezo wapewe uongozi ? demokrasia hii iliyotumika ina tofauti gani na ya Mh. Mbowe kuongezewa...
  3. G

    NINA MASHAKA NA UAMUZI HUU ULIOFANYWA NA Mh Mbowe:

    ni kweli bwana,waache huu mtindo sio mzuri kabisa;hasa huyu ayemtembeza kijana wetu aliyeharibiwa uso na tindikali.
  4. G

    Suala la rais na makamu kutoka pande tofauti ni kuliumiza taifa na wananchi.

    Nafikiri sio sawa kuiangalia Zenj kwa idadi ya watu;hata kama wangekuwa 200,000 tu lkn ukweli ni kwamba kwa hadhi ,Tanganyika na Zanzibar zote ni nchi na zinalingana.Nategemea Wazanzibar watapinga hata uwiano wa idadi ya wabunge ili wawe sawa na watachangia kwa usawa gharama za kuendesha...
  5. G

    Nassari aambiwa aache Kucopy na Kupaste

    Kaka,samahani kwa kausumbufu,nakuomba utafute sheria za tz kuna watu wanaitwa VISITING JUSTICE ambao kazi yao ni kutembelea magerezani kwa ajili ya ukaguzi ili kujua hali halisi ya magereza na wafungwa.WABUNGE ni mojawapo wa watu hao,.aidha kuna kamati za Bunge ambazo majukumu yake ni mtambuka...
  6. G

    Sherehe za CCM Dodoma Zaingia doa, Wang'oa bendera ya CHADEMA, Aden Rage ashuhudia

    nadhani unashauri siku ya sherehe ya cdm bendera zote za ccm zilizopo karibu na eneo la shughuli zishushwe kwa nguvu na wana cdm!nimeupenda ushauri wako.
  7. G

    Mbunge Moses Machali anachemka Channel 10

    mzee nafikiri ulikuwa unamaanisha Mbatia mwenye ubunge wa fadhila na sio Mbowe mwenye jimbo,tafadhali rekebisha.
  8. G

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    yes offcourse,mikutano yote ya CDM isiwe covered ili wananchi wasijue kinachoendelea.,ila ya chama kile,.iwe front page
  9. G

    Utaratibu kuhusu saluti

    nafikiri kuna point una i over look,ASKARI AKIWA KWENYE SARE, Hata kama alikuwa kwenye ibada,suala la salamu ya mwisho kwa marehemu linamtaka afanye hivyo otherwise asivae sare awe civilian.
  10. G

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    pole sana kwa kufikiri CDM INA M2 MMOJA 2 Ar,urahisi mzee wa monduli aachie jimbo aje mwenyewe Ar mana hali tete
  11. G

    Lema to Nassari: "Nitakupa mil. 10.... Jipe moyo utashinda"

    Je hata angepewa hizo 10m zingetosha kufanya kampeni?mesage ilikuwa wazi,watumainie watu wako wanao kuamini uyashinda,Dogo alikwenda na umma ukampa imani iliyomfanya kuaminiwa na chama,leo kwa thumni zao huyooo Mjengoni.well done Lema,Dogo hata kura za maoni asingeshiriki kwa kufikiri bila fedha...
  12. G

    Mbowe atoboa siri

    Nimeupenda muono wako!CDM hawabahatishi;deep inside u kwow the truth. ZK amepata ushirikiano na malezi ya chama kufika hapo.hiyo divide and rule yenu iache huko green.CDM WATAPANDA PAMOJA NA KUVUNA PAMOJA.
  13. G

    Baraza la wanawake wa CHADEMA mpo?

    Nafikiri mnalo jukumu la kuweka wachacharikaji wengine pia ili kukipa chama uhai,chaguzi za serikali za mitaa hazipo mbali,mnahitajika kwa uhamasishaji na ushiriki wenu wa hali ya juu.Haitakuwa sawa 2je kuwasikia wakati wa kutafuta viti maalumu.Jengeni mtandao mpana wa kudumu.
  14. G

    Wananchi wa Arumeru Mashariki kumsindikiza Nassari bungeni

    Nakuunga mkono,ni wazi kuwa bila kuwashirikisha hawatajisikia kuwa sehemu ya mafanikio hayo,wala wivu hautawala kupigania mafanikio hayo kwao.M4C itafanikiwa sana ikielekezwa kwa vijana wote.
Back
Top Bottom