Mbunge Moses Machali anachemka Channel 10

Mbunge Moses Machali anachemka Channel 10

Nimemgundua Machali kuwa yuko brainwashed baada ya kuona haongelei kabisa kuwa matatizo ya nchi hii yanachangiwa pakubwa na ccm na watawala, bali shutuma zote ni kwa cdm.
Ni ajabu kwake yeye ambapo ni mbunge wa kuchaguliwa kuongea kwa maelekezo ya Mbowe mwenye ubunge wa fadhila!
mzee nafikiri ulikuwa unamaanisha Mbatia mwenye ubunge wa fadhila na sio Mbowe mwenye jimbo,tafadhali rekebisha.
 
Kishajifia hicho chama wala kisikupe hedeache
 
Mimi huwa namdharau sana huyo bwana mdogo hata hoja zake bungeni huwa mara nyingi ni dhaifu kama yeye.
 
Mbunge wa Nccr Mageuzi Moses Machali akizungumza leo ktk kipindi cha Hamza Kasongo kwenye Mada inayosema MUSTAKABALI WA TANZANIA KWA MUJIBU WA NCCR MAGEUZI ameshindwa kabisa kuongelea hoja hiyo na badala yake akajikita kuiponda Chadema akisema viongozi wake walichukua mashangingi ya Ubunge wakati waliyakataa, na kuwa Cdm wanakituhumu chama chao na cha Cuf kuwa ni Mamluki wa ccm.

Mwanamtwara mmoja akipiga simu amezidi kumwaibisha Mbunge huyo kwa kumtaka aeleze ukweli wa nini kilimpata Mbatia akiwa jukwaani, lakn Machali amemtetea bosi wake kwa kukataa katakata kuwa hakushushwa jukwaani, bali ni propaganda za Cdm.

Ni masikitiko mno kwa kijana wa umri wake kutoeleza msimamo wa chama chake, badala yake ameongea off-points na kuchemka, huku maongezi yakijikita kwenye jazba na lawama tupu.

Nccr jipangeni upya.

Nadhani hivi vyama vya upinzani inafaa vizungunzie yale mambo yanayowaletea shida wanainchi na ambayo yanasababishwa na makosa ya ccm.
Kuliko kupondana hapo hamna jipya ambalo wanainchi wanaweza kuwaamini. Ni lazima watuambie nini ni mbadala na njia ipi tuipite nje ya ile ccm inayotuongoza.
Nilitegemea mbunge kijana na kutoka upinzani alete changamoto mpya mbadala ya wazee wa ccm.
Machali ametuangusha sana kushambulia wengine baada ya kuonyesha njia mpya.
Hata hivyo siamini kuwa ni mbinu mfu za ccm
 
Huyo huwa ni tupu, nilipambana naye 2010 akanipigia salute chuo kikuu SAUT MWANZA, KAZI YAKE NI JAZBA,KELELE NA KUMNUKUU MALCOM X KWA KILA KITU KILA WAKATI NA QUOTATION ILE ILE
Hata jana katika mahojiano alitumia muda mrefu kutoa hizo nukuu, hadi alikatishwa na mzee Kasongo akiwa anaanza kusimulia nukuu ya 'Plato's Myth of Metals' ambayo inasema "there are three kinds of people: Gold ,Silver and Bronze.
Nia yake ni ilikuwa ni kuwafananisha wanaCdm na Bronze type!
 
Labda alikuwa amelewa wakuu!!
Spika wa Bunge letu alitoa taarifa Bungeni kuwa Wabunge wengi huwa wanaingia session ya mchana Bungeni wakiwa wamelewa chakari na wamevuta sigara!...
You never know!
 
Kiongozi wa hicho kipindi naye hovyo tuu mtu ataongeaje mambo ambayo hayapo kwenye mada na anamuachia tuu.
 
Wabunge wetu bado.... uchambuzi wa wa jamaa ulikuwa shallow sana... I mean below standard.
 
Mbunge wa Nccr Mageuzi Moses Machali akizungumza leo ktk kipindi cha Hamza Kasongo kwenye Mada inayosema MUSTAKABALI WA TANZANIA KWA MUJIBU WA NCCR MAGEUZI ameshindwa kabisa kuongelea hoja hiyo na badala yake akajikita kuiponda CHADEMA akisema viongozi wake walichukua mashangingi ya Ubunge wakati waliyakataa, na kuwa CHADEMA wanakituhumu chama chao na cha CUF kuwa ni Mamluki wa CCM.

Mwanamtwara mmoja akipiga simu amezidi kumwaibisha Mbunge huyo kwa kumtaka aeleze ukweli wa nini kilimpata Mbatia akiwa jukwaani, lakn Machali amemtetea bosi wake kwa kukataa katakata kuwa hakushushwa jukwaani, bali ni propaganda za CHADEMA.

Ni masikitiko mno kwa kijana wa umri wake kutoeleza msimamo wa chama chake, badala yake ameongea off-points na kuchemka, huku maongezi yakijikita kwenye jazba na lawama tupu.

NCCR Mageuzi jipangeni upya.

Labda waliomuita kwenye kipindi walimpa hadidu rejea kuwa anachotakiwa kuongea ndio hicho...
 
kweli bana,machali jana alichemka sana tu,tuache sifa na ushabiki.kila anachoulizwa analeta historia ndefu ambazo hata sio majibu kwa alichoulizwa.aliponichefua zaidi ni hiyo issue ya mitaala ya ukanda au wilaya,hakuweza hata kuelezea akaeleweka zaidi ya kukazia mila na desturi,et technologia ya ikanda au eneo husika.0vyoooo kabisa
 
Kiongozi wa hicho kipindi naye hovyo tuu mtu ataongeaje mambo ambayo hayapo kwenye mada na anamuachia tuu.
mtangazaji alimkatisha,lakini inaonesha hicho ndo alipanga kwenda kuwajulisha watz akizan ataonekana kaongelea jambo la maana kumbe anajionesha alivyokilaza.
 
machali siku zote huwa hana hoja zaidi ya kupaniki, kulaum na kuongea kwa sauti ya juu, kwa hiyo mi sishangai kusikia ameenda kuonge pumba kwa kuishambulia cdm badala ya kuiangalia ccm ambayo ndio chanzo cha matatizo ya hii nchi.
 
kweli bana,machali jana alichemka sana tu,tuache sifa na ushabiki.kila anachoulizwa analeta historia ndefu ambazo hata sio majibu kwa alichoulizwa.aliponichefua zaidi ni hiyo issue ya mitaala ya ukanda au wilaya,hakuweza hata kuelezea akaeleweka zaidi ya kukazia mila na desturi,et technologia ya ikanda au eneo husika.0vyoooo kabisa
" Mimi kama Mbunge ni mjumbe wa kamati ya Bunge ya nini nini sijui!...Nimetembelea sehemu nyingi, na juzijuzi nilitembelea chuo chaTeknolojia cha Nelson Mandela huko Arusha, nikajifunza mambo mengi sana..."
Blaa Blaahhh!!!!


"Unajua kuna hiki chama cha wenzetu ambao hawapendi kushirikiana na vyama vingine pinzani... blaah, blaaahhh, bla!"

Nahisi huyu Bwa mdogo walimkurupua tu, na hakuandaliwa
 
amejitahidi na atakuwa mwiba kwa cdm na dk mlemav wao

Namsihi sana Mungu akuonyeshe usivyo na akili na akupe kilema unachoombea wengine tena upate kibaya zaidi mpaka utubu
 
nilipata simuliwa siku moja kwamba huyu alipatwa na matatizo ya akili utotoni
 
Kishajifia hicho chama wala kisikupe hedeache
Japokuwa mkubwa wa nchi anajaribu kukinyenyua nyenyua kwa kuwaongezea wabunge kwa nguvu za rungu la dola, lakini wapi, la kuvunda halina ubani.
Nadhani nia ya mkubwa ni kuwa competition iwe kubwa wakati wa uchaguzi ili kudhoofisha kura za upinzani.
Machali anaona hiyo ni sawa tu!
 
machali kaongea vizuri tu,kuweni wakweli kwa watu neutral kama mimi nimependa alivyotoa hoja zake!

Alichoongea kizuri ni kipi?, badala ya kueleza NCCR na mustabali wa Taifa anashadadia nguvu ya umma na CDM,huna u-neutral wo wote,
 
Back
Top Bottom