germstone jnr
Member
- Dec 27, 2011
- 28
- 3
Raha za Milele uwape eeh MUNGU na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani!
Amina.
Raha za Milele uwape eeh MUNGU na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani!
Mkuu Mungi.
Naomba kuboresha kidogo taarifa yako hasa kuhusu marehemu wa Lushoto Tanga.
Maiti imeingia alfajiri ya leo na tayari wameshazika kule nyumbani kwetu mkuzi. Marehemu ni mtoto wa kaka yetu kenye ukoo anayeitwa Mtoi Kolowa Daffa, marehemu anaitwa Amiri Mtoi Kolowa Daffa.
Timu ya watu kutoka Arusha imetoa support kubwa sana na hivi sasa wako njiani wanarejea Arusha.
Watu wa Arusha mnashukuliwa sana kwa moyo wenu.
kwa kumkabidhi hiyo shughuli Rose kamili chadema walicheza kama pele , huyo mama hizo shughuli za kijamii especial misiba kwa tunaomfahamu hizo shughuli anazimudu kwani huwa anajitolea kwa hali na mali.
Mkuu Mungi huyu jamaa anataka kuingiza Udini hapa wakati anajua hao vijana waliokuwa wanatoka madrassa waliuliwa na polisi wa serikali dhalimu ya CCMMungi, mbona upo tofati na kamanda mwenzako Mohamedi Mtoi, anasema kuna udini.
Mungi, mbona upo tofati na kamanda mwenzako Mohamedi Mtoi, anasema kuna udini.
Kwa mara nyingine waziri mkuu Mizengo Pinda amedanganya umma kwa kusema Serikali itawazika marehemu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wana Jf,
Kama mtakumbuka waziri mkuu juzi alitoa kauli ya serikali kuwa itagharamikia mazishi ya waliofariki katika milipuko ya mabomu na risasi Arusha.
Taarifa iliyothibitishwa ni kwamba Ndugu wa Marehemu wote wawili wamekataa serikali kujihusisha na mazishi ya ndugu zao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti ndugu hao wamesikitishwa na kitendo cha kushawishiwa kuwakataa chadema, wamesema wao wapo na chadema kwa kuwa wao pia ni wafiwa katika tukio ambalo lilitokea kwenye mkutano wao.
Leo hii miili ya marehemu wote zimesafirishwa kwenda makwao Tanga na Tabora, ambapo Mbunge Rose Kamili ndiye aliyeshughulikia taratibu zote ikiwa pamoja na kulipia gharama za usafiri, chakula na malazi kwa wote waliosafirisha miili ya ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki.
Coster zote zimeondoka mapema leo kuelekea kwenye maziko.
Tunawaombea Mungu awape faraja zake wale wote wanaoguswa na misiba hii na kuwaongezea imani. Vilevile tunawaombea wasafiri salama na kuwapumzisha ndugu zetu kwa amani. Mungu azilaze roho za marehemu hawa pema peponi, amina.
Polea sana Mtoi. Nilifarijika kumsikia mbuge mmoja wa chama tawala akielezea kusikitishwa na jambo hilo na kisha kuniambia kuwa woga unaowasumbua viongozi wengi walioko madarakani ni kwa ajili ya madhambi makubwa waliyofawafanyia watanzania. Kwa hiyo wanatafuta kwa nguvu zozote zile kuondoa nguvu za mabadiliko.pole sana Mohamedi Mtoi ,fikisha salamu zetu kwa familia kuwa tupo pamoja.
Ni kweli anastahili sana.. Anajua sana utu.. Hasa mtu anapopatwa na matatizo...
Yule meri nagu anapumulia mashine kwa jinsi huyu mama anavyokubalika Hanang
Mkuu Mungi.
Naomba kuboresha kidogo taarifa yako hasa kuhusu marehemu wa Lushoto Tanga.
Maiti imeingia alfajiri ya leo na tayari wameshazika kule nyumbani kwetu mkuzi. Marehemu ni mtoto wa kaka yetu kenye ukoo anayeitwa Mtoi Kolowa Daffa, marehemu anaitwa Amiri Mtoi Kolowa Daffa.
Timu ya watu kutoka Arusha imetoa support kubwa sana na hivi sasa wako njiani wanarejea Arusha.
Watu wa Arusha mnashukuliwa sana kwa moyo wenu.
wa-tanzania to be specificChadema imo ndani ya damu ya Wa-Arusha..