Recent content by gerit

  1. gerit

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mnachofanya ni sawa na MTU mwenye Duka anampandishia Bei mteja mkuu sababu ananunua bidhaa zaidi ya wengine. Wakati kiuhalisia angethaminiwa kwa kupunguziwa gharama na kupata offer zaidi.
  2. gerit

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kwa kweli naomba Vodacom muwafikirie Wateja wanaojiunga vifurushi mara kwa Mara wawe wanapunguziwa gharama na Sio kuongezewa gharama kama mnavofanya saizi!!!!!! HILO NDIO OMBI LANGU
  3. gerit

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Muda wote nasoma nikadhani aliyeandika ni Mwanaume kumbe mwanamke? Daa mwanamke huyu anajitambua kweli
  4. gerit

    JamiiForums Tanzania Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

    Wewe upo kwa watumiaji wakubwa. Kama matumizi yako ya mwezi kwa wastani hayazidi unit 75 fuatilia Tanesco wakuingize kwa watumiaji wadogo.
  5. gerit

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kutoa uchafu kwenye pasi

    Tumia chaki, pas ikipata moto sugua kwa chaki
  6. gerit

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge nzuri Morogoro

    Nenda GM IPO town Jirani na new life mtaa wa Uhuru. IPO poa clean tulivu saafi na lift ipo active 30k
  7. gerit

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Vodacom vyarejea

    Jamani serikali walituambia kupitia Makamu wa rais Ndani ya masaa 24 vifurushi vinakuwa kama zamani hadi Leo kimya.
  8. gerit

    JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi hizi hadithi zilizowahi kuvuma kwenye majarida?

    Siku hizi watu wanafuatilia sana tamthilia kwenye TV au mitandao sio kupekua makaratasi kama zamani. Nakumbuka vitabu kama sikisei Wile Gamba Zawadi ya ushindi daaaa
  9. gerit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

    Mke wako ndie anaejua ukweli. Lakini ukitaka kufurahia maisha usipende kufikiria -ve kwa mtu wako
  10. gerit

    JamiiForums Tanzania Kumkopesha mwanamke inahitaji akili

    Ukimkopesha usijiingize kwenye mahusiano nae atalipa
  11. gerit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

    Hapo hakuna mwanamke vipo viatu tu na magauni
  12. gerit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

    Wakati anafanya kazi???
  13. gerit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

    Wewe dada hufai kuwa mke.
  14. gerit

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Dar yasiyo na joto sana

    Tabata barakuda
  15. gerit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akikuacha kwa maumivu tena bila hata sababu mara nyingi hupitia magumu na kukukumbuka?

    Dada nahisi bado unampenda. Fanya mrudiane. Sababu inaonekana unamfuatilia vizuri. Pia kumbuka wanawake wengi huwalisha madawa wanaume, usikute alilishwa Dawa na huyo bint
Back
Top Bottom