kwa ushauri wangu, ayo matokeo yake kwa sio mabaya(ni mazuri), kwa iyo apende matokeo yake na baada ya apo ningeshauri kua angetafta nafasi katika ngazi ya DIPLOMA, naomba ajaribu cource za HUMAN RESOURCE, MASS COMMUNICATION, FINANCE & TAX, NA kwa kua ni diploma pia angejaribu kuomba ktk COURCE...