Naomben ushauri

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Jamani naombeni ushauri wenu jamani wadau, nina mdogo wangu alifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate mwaka 2010 akapata div 4 akarudia tena mwaka 2011 kapata div iii ya pnt 17 yani gs f,hist s, geog f,kisw d, sasa naomba mnisaidie hataki tena kurudia mtihani kwani anadai hana hamu tena kwajinsi alivo kuwa anasoma na kujitahidi mazoezi darasan hata mimi mwenyew shahidi alikuwa anapata pass nzuri bt national wamefeli sana karibu kituo kizima sasa nimsaidiaje huyu dogo je anaweza kuendelea na au kozi gani itamfaa hata kwa diploma sababu habari ya kafanya tena mtihani wa private hana hataki hata kusikia ,naombeni ushauri wana jf plz.
 
Mh huyo itabd aende diploma 2,dn aangalie k2 anacho taka somea ndo akakisomee sasa,dn pole
 
kwa ushauri wangu, ayo matokeo yake kwa sio mabaya(ni mazuri), kwa iyo apende matokeo yake na baada ya apo ningeshauri kua angetafta nafasi katika ngazi ya DIPLOMA, naomba ajaribu cource za HUMAN RESOURCE, MASS COMMUNICATION, FINANCE & TAX, NA kwa kua ni diploma pia angejaribu kuomba ktk COURCE ya IT. mwisho ni kwamba wapo wamefail zaidi yake lakini wanaendelea vizuri, na pia si kila mtu anae-fail hajui kitu, wapo watu wengi wenye akili sana ila cha kushangaza matokeo hua yanakuja chini juu.
 
Apige Diploma fasta asishangae shangae na hiyo ndo alternative pekee aliyonayo vinginevyo no way out! tena awahi sasa mana deadline nyingi za vyuo haswa vya diploma zimeshapita so wahi mapema
 
Back
Top Bottom