Wana jamii,
Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
Wana jamii,
Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
bank inayolipa vizuri tz ni ipi?
Unazungumzia SPANCO hawa waliowalipa kastama kea tarehe 57 ya mwezi au wengine...??? Au unawasema wale wanaolipa Tshs. 250,000/= mshahara kwa hawa wapya...??? Maana hao wa wa zamani wana nafuu kwa vile walihamia huko toka Airtel na mishahara yao........ sasa hao waajiriwa wa sasa ................. ndo wanakula huto tu laki mbili na nusu................
Ingawa upo nje ya mada kidogo...Lakini ili ndio jibu la kiupeo/malengo kwa baadye au sasa(kama una mtaji)Green: Siyo Best working Organization kwa sababu hakuna usawa na hakuna mifumo mizuri ya ajira, Upendeleo na kujuana ndo vina-lead mtu kupata kazi hapo na sio qualification
Red: Ufisadi mwingi unfanyika huko, so kwa mzalendo kama mimi am not happy kufanya kazi sehemu ninayoshuhudia ukianzia hapo.
Blue: Ukabila mwingi bila kujali qualification. Yaani hapa ndo hata utashuhudia wanaongea kilugha pale customer care.
My Take:
Jiajiri uachane na maswali kama hayo!
Caspian.
Hi
I beg to differ... Barrick gold tena?!!! naona hawa watu walishindwa kunilipa 3.8 M net ( i'm an MBA holder and with almost 8years working experience) while where i was working by then while applied to Barrick i was getting 3.5 M net... Jamani Barrick tena?!! Eti they wnated em to work for them at 2M net......... mhhhh!
Haiwezekani hawa jamaa kila baada ya miezi kadhaa post zilezile wanatangaza upya!
Precission hamna kitu na uwakika huo na ushahidi upo!