Recent content by Gepard

  1. Gepard

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

    Utupu wa mnyama kabisa? Interesting 😀
  2. Gepard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

    Wewe si tajiri mkuu mtoaji, ngoja akufundishe adabu alafu ameshakutawalaa
  3. Gepard

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    Sayansi ya chanjo ndio itafanya hata wewe uchanjwe😅, vikwazo tu vya kusafiri, baadhi ya kazi etc.
  4. Gepard

    JamiiForums Tanzania Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    😂😂😂 unaweza tu hata umekaa mahali akakumwagia petrol chap akakupiga kiberiti usiamini mkuu. Wembe ni ule ule.😅 kikubwaa kwenye mgogoro hapo tena sio mkeo usiende lala kwake.
  5. Gepard

    JamiiForums Tanzania Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Naomba kueleweshwa hapo boss mm sijui.🙏
  6. Gepard

    JamiiForums Tanzania Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Vita ndio imeanza rasmi
  7. Gepard

    JamiiForums Tanzania Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

    Mbona mapema😂
  8. Gepard

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Koromije hukuu
  9. Gepard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi boss wangu ananipenda ila naogopa nisije jiharibia

    Fungua fuvu ilo mkuu saa anakupiga kiberiti hutaamini
  10. Gepard

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua huu ugonjwa Anal Fissure anisaidie mawazo

    Sawaa mkuu lakini hili ni jukwaa la mapenzi usitake tuwaze mbali. Ila maneno yote sio mageni kwangu anal nimewahi kuisikia kwenye biology na fissure kwenye physical geography kumbe combination yake ni ugonjwa 😄
  11. Gepard

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Yan mama Sasha kweli kapigwa hawa wabongo wasiopenda mafanikio ya watu ana kazi kuwaongoza
  12. Gepard

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    😂 Rosi rois Mimi nazijua mkuu iyo ya jamaa Kuna kitu kinanitatiza hadi niingie ndani ndo ntaweza kufanya conclusion Kama ni fake au lah😅,, mm Sina hata passo wivu unanitesa
  13. Gepard

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Be straight Snoop kamtapeli dogo Ile rosi roisi kulinani
  14. Gepard

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Samahani mkuu. Wewe na demu wako mnaweza ku agree rangi ya kirikuu yenu 😂
  15. Gepard

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Roho za kimaskini mbaya ase, yani jamaa anawaza mashamba na ng'ombe tu
Back
Top Bottom