frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 619
- 806
Wadau habari za jioni?
Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu.
Huu uugonjwa unadawa ambayo inaweza kuuponesha tofauti na operation? Au ni mpaka operation tu ndo solution
Note: Hii kitu sio Bawasiri (hemorrph)
Naombeni majibu wadau kwa ambae anajua hili swala