Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Yaan hyo kususa niliopanga kuufanya mwez mzima huu..atajuta..hapa katuma msg nmekaa kimyaa...tena kanipa sababu aisee..nahis kama amenisaidia aisee..yaan hata kuja ona hela yangu
huo ndo uamuzi wa kiume. Funga koki askie kiu mpaka koo likauke.

uspomfundisha adabu katika hilo kosa alilotenda atakuona mdhaifu.
 
Nna hasira vibaya mno..hapa nilitaka toka kidogo nikanunue tuvitu fulan sasa sina hata mia..
We huna hasira. Ungekuwa na hasira ungeshachukua maamuzi magumu, huu uzi tusingeuona hapa...

Infact wewe unapaswa kuwa mchungaji mkuu mwandamizi na msaidizi wa mhashamu askofu mkuu...
 
Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80.

Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu.

Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref.

Huyu binti toka hiyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.

Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.

Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..

Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?

Inamana tumezoeana sana ama?

Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah

Uzi tayar...
Chai kabisa hii, yaani et ma kuku hayakauki na mfukoni una laki mbili na bado unalalamika et maisha magumu, chai ya baridi kuinywa asubuhisubuhi hivi inakera sana
 
huo ndo uamuzi wa kiume. Funga koki askie kiu mpaka koo likauke.

uspomfundisha adabu katika hilo kosa alilotenda atakuona mdhaifu.
So far mpaka sasa kashathibitisha yeye ni zaidi ya dhaifu...

Sasa kama demu anakuibia laki 2, ukimpandisha cheo kuwa mke si atakuibia korodani kabisa?
 
Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80.

Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu.

Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref.

Huyu binti toka hiyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.

Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.

Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..

Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?

Inamana tumezoeana sana ama?

Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah

Uzi tayar...
Achana na hiyo makitu
 
Hahahahhaa...sjui kajiamin nin..hajawai hata fanya hiv...hata sku1...na nimemlilia sana kwamba hali ni mbaya. Atulie ntampa tu hyo hela..ujue wanawake hawana huruma kaka
Wewe si tajiri mkuu mtoaji, ngoja akufundishe adabu alafu ameshakutawalaa
 
kuchukua hela sio tatizo lakin kale ka kauli ka kusema "Ndio nimechukua" ni as if utanifanya nn and i dont give a https://jamii.app/JFUserGuide hilo ni tatizo mzee
and hakuna kitu nakichukia kama mtu a go through my stuffs bila ruhusa yangu ila i believe everybody deserves a second chance Embu msuspend kama mwezi hivi alaf mwangalie tabia yake atakavo act from there utajua

Peace
 
Back
Top Bottom