Recent content by georgetemu95

  1. georgetemu95

    Waziri Lukuvi: Marufuku kuzika kwenye vihamba Kilimanjaro

    [emoji23][emoji23][emoji23]Dah kweli Lukuvi hapa ulikosea wachaga hawachukulii mikopo nyumba za vijijini na thamani ya hayo majumba ni hayo makaburi hapo ndio maana tunapaita nyumbani... Mzee wangu nakuheshimu sana lkn kwenye hili ungeomba uzoefu kidogo hata na takwimu kutoka kwenye mabenki...
  2. georgetemu95

    Rais Magufuli hafanyi kazi kwa kushinikizwa, wanaodhani Mwigulu atajiuzulu mmegonga mwamba

    hahaha yani mbowe anavituko anadai yuko tayari kufa mbona kakimbia sasa
  3. georgetemu95

    Nyarugusu: Huduma za Kijamii kama maduka, hoteli, baa, mabucha zimesimama. TRA wanadai Mashine za EFD

    nilibishana sana na oficer wa TRA ila baadae nilimwelewa this is so true
  4. georgetemu95

    Jacob Nchimbi apigwa baada ya kuhisiwa anampeleleza Lipumba

    Blaza hizo ni propaganda kama uliwasikiliza hao viongozi wako wa chama walikupoteza maana huwa hawakosi pumba point za kuongea
  5. georgetemu95

    Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Kijana kama unampango wakuandamana hakikisha umepata sababu kumi kwanini unataka kuandamana kama hazifiki kumi kitulize kwenu au kwako usitie watu kwenye gharama za kukupeleka hospital wakati hujui unatetea nini. Usifananishe Tanzania na huko kwa wenzetu nje hii ni Africa utapigwa halafu...
  6. georgetemu95

    Tetesi: ICC Ndani ya Tanzania

    Unahisi hao ICC wanaangalia polisi tuu hata viongozi wanao lead people to riot they are in trouble.
  7. georgetemu95

    Meya Jiji la Arusha na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro wamekamatwa na Polisi

    Sidhani kama polisi wanaweza kukamata watu bila kuwa na makosa na uzuri waliokamatwa ni wanasiasa ni watu wanaojua sheria. wasingeweza kuekwa ndani bila arrest warrant
  8. georgetemu95

    Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

    Lowassa hawezi kuitesa CCM. Lkn anabakia kuwa kama onyo kwamba mwanaCCM akiondoka yatamkuta yaliyomkuta Lowassa. So that of course is a publicity lkn ni kuwa maarufu kwa kupoteza
  9. georgetemu95

    President Magufuli must read this fantastic article!

    Sioni kama Maghufuli anakosea mahali na sidhani kama aliyetoa hio post kama anaelewa nini Maghufuli anafanya. Hajaribu kufanya socialism anajaribu kila mtu ale kwa jasho sio ujanja ujanja. Nina mfano mzuri kuna jamaa alifanya kazi karibia mwaka mzima kama kibarua ofisin tena ofisi za serikali...
  10. georgetemu95

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Wakuu habari za leo. Nauliza kuna mtu yoyote anayefahamu kuhusu biashara ya mpunga Morogoro bei ya shamba, mjini na faida unayoweza kupata mtaji wa kuanzia. Kwa ujumla kama mtu anarough draft ya biashara ya mpunga Morogoro naomba anisaidie.
  11. georgetemu95

    Lowassa kakosea? Hapana, tujikumbushe ushauri huu

    Ifikie mahali penye ukweli tupaseme, acheni kupaka vitu mafuta kwa mgongo wa chupa inamaana mtu akitaka kujisafisha na maovu yake aamie ukawa ety
  12. georgetemu95

    UKAWA kitengo cha habari mmelala?

    Siasa za upinzani za sasa nchini kwetu naona zimeishiwa mbinu sasa wanaanza kuwa na mbinu kama za mtoto anaeyechapwa halafu anasusa kula na kuongea kama anamkomoa mtu anasahau kua yeye bado ni mtoto na baba yake ndo anampa kila kitu ama kwa hakika huu mchezo hauhitaji nguvu
  13. georgetemu95

    Dar: Watu wagombania kupanga foleni ya kununua Sukari

    ni kweli mm mwenyewe nimenunua kilo kwa 2800 jana na nmeipata bila hata folen
  14. georgetemu95

    Mkutano wa CHADEMA wazuiliwa Kahama, Mabomu yarindima kutawanya wafuasi

    Serikali ipo kipaumbele kujali maisha ya watu na amani kila wanapoweza wanawekeza kwenye amani maana bila amani hata hayo maisha utakua hauna.
Back
Top Bottom