figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Mbagala rangi tatu muda huu, watu wamepanga foleni wanannua Sukari.
Pamoja na Waziri Mkuu kulitangazia taifa kwamba Serikali imeagiza sukari ya kutosha, lakini hali bado ni mbaya
Tarehe 10 mwezi uloisha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisema Serikali imeagiza Sukari kutoka nje ya nchi tani70,000 za sukari ambapo kati ya hizo, tani 11,957 zimshawasili nchini na zitaanza kusambazwaMei 11, 2016.
alifafanua kwamba Sukari ambayo imekwishawasili nchini,alisema tani 2000 zitapelekwa (Mikoa ya kaskazini), tani 3,000 (Mikoa ya kanda ya ziwa), tani 2,000 (Mikoa ya Kusini), tani 2,000 (Nyanda za Juu Kusini) na tani 2,000 (mikoa ya kanda ya kati).
Lakini huduma ya kupata sukari tangu kipindi hicho umekuwa ni tabu.
Tulitangaziwa kwamba tungegawiwa bure Sukari iliyokamatwa Dar, lakini hatukupewa hata robo kilo.
Nmeishiwa Maneno..