Recent content by georgekic

  1. georgekic

    JamiiForums Tanzania Msaada. Nikitengeneza popcorn zinaungua na hazipasuki

    Umeweka rangi gan????
  2. georgekic

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi Mwalimu wa Computer

    0755770876 ila NIKO MKOA WA MARA TARIME
  3. georgekic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watelekeza wafuasi wao 28 mahabusu kwa kukosa dhamana

    Acha usenge chadema imewatelekezaje sasa??? sema serikali inawatesa wananchi wake..
  4. georgekic

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mimi nilipewa Taarifa na mkuuu wangu wa Kazi muda huo huo nikaugua ghafla wakanipeleka hospital kuongezewa Maji ninavyoandika muda huu ndo nmetoka hospital baada ya kusikia Anaendelea vizur...
  5. georgekic

    JamiiForums Tanzania "Kachero" na Hatima ya CCM 2020

    Umenena vyema sana tunangoja kuwake moto wa kifuuu ili sie tupige hatua
  6. georgekic

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Tundu Antipas Lisu Anapotamka jambo Lumumba na Serikali yake yote hupata Uchizi hivyo kupelekea kukamatwa ili asiambukize wengine Uchizi haaaaah. Ila yana mwisho tutaelewana tu siku moja.
  7. georgekic

    JamiiForums Tanzania Pointer ya laptop yangu inatetemeka hovyo haitulii

    Badilisha window,unatumia window gan???
  8. georgekic

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Uamuzi wa Dhamana ya Mh. Lema kutolewa Ijumaa

    Hat Siku moja mnafiki hajawai shida welcome again Lema!
  9. georgekic

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

    Kuna MTU nimesoma comment ake anasema wana singida mashariki hawampendi Lissu sasa naomba anijibu nani ni mbuge wa singida? Na kama ni Lissu anawezaje kusema hawampendi!
  10. georgekic

    JamiiForums Tanzania Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Mimi ni mwanachadema damdam,lakin tusimhukumu Sitta kwa kujenga hilo hekalu,unajuaje kama alitumia pesa za uma je kama alitumia mkopo kutoka benki tutajuaje?
  11. georgekic

    JamiiForums Tanzania Wanawake kama ndio mnadanganyana hivi kututeka wanaume mwenzenu nimeng'oa meno

    Daaah aseee nmecheka sana
  12. georgekic

    JamiiForums Tanzania Ukinivua kumbuka kunivalisha

    Monica ulishafanyiwa na wangap ambao hawajawai kukuvisha baada ya mgegedo!
  13. georgekic

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa dar??

    Matapeli sijui Ila sina uhakika sana
  14. georgekic

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Magufuli hajui kiingereza waumbuka

    Daaah jamani kwa hiyo unataka kuuaminisha uma kuwa Magu Anajua kingereza labda cha kuandika
  15. georgekic

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa za mchekeshaji Vengu wa Orijino Komedi

    Ila kweli,au yuko nje ya Tanzania
Back
Top Bottom