Napita tu.
Experience kwa hii mada sina kwa kweli.
Msema kweli ni mpenzi wa mungu.
Ila ni busara na ni vyema kama utamvua nguo zote kwa ustadi wa hali ya juu,
Na umalizapo mchezo uwanjani,
Ni vyema kusafisha mwili kwa pamoja ama kumsafisha kisa kumvalisha pia,
Na usisahau kushukuru kumwambia
" ahsante mpenzi/mke wangu nimefurahi mno kwa kunipa nafasi hii kuburudika pamoja nawe, nime enjoy nakushukuru sana "
Mvalishe nguo mpe busu mbili tatu, onyesha furaha na kushukuru hata kama hukufurahia mchezo usimwambie hapo hapo
Utamuelezea siku nyingine
Hii ndio inavyo takiwa
Lakini kwa jamii nyingi za kiafrika kwa upande wa wanaume ni ngumu na wachache mno wanaofanya hivyo.
Jifunze kufanya hivyo.
Remember nilikuwa napita tu.