afsa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 1,986
- 1,585
Nina laptop imeanza kunisumbua. Pointer yake haitulii ninapogusa touch, nikiachia hata nikitumia mouse Inaendelea kucheza cheza nashindwa kufanya kazi zangu, nimepeleka kwa fundi amekorokochoa lakini ameshindwa kurekebisha tatizo.
Ni Hp ram 3gb, hd 250.
Msaada wenu tafadhali.
Ni Hp ram 3gb, hd 250.
Msaada wenu tafadhali.