Recent content by Georgekamuli

  1. G

    JamiiForums Tanzania pikipiki DT125 ya mjapani inauzwa

    ipo mbeya ina hali nzuri pia inatembea bei 2,000,000 .....mawasiliano 0762078711
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais

    bsc in properties and facilities management ya ardhi university may b inaweza husika
  3. G

    JamiiForums Tanzania msaada ku add BISS key kwenye receiver ya azam

    habari za jioni wakuu ? naomba mwenye kujua jinsi ya ku add biss key kwenye receiver ya azam anisaidie
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa comb ya EGM unaweza soma kozi gani nzuri wadau Ushauri

    Mkuu kasome building economics, town planning au land management pale ardhi university! I guarantee hautojuta kusoma hizo program
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu, nimekwama wakati naweka windows

    Mkuu Cd pia inaweza ikawa imechubuka ! Unaweza pia kujaribu njia nyingine kama kuiweka kwenye flash na kuifanya iwe bootable badala ya cd au ku run window moja kwa moja toka kwenye pc ila unahitajika uwe na program za magicdisc,magic iso,na cd burner xp ambazo zinapatika kirahisi google
  6. G

    JamiiForums Tanzania Jim Jones: Mchungaji aliyewaua waumini wake 918 kwa sumu

    Kuna Movie moja inaitwa ” The sacrament ” ina story kama iyo
  7. G

    JamiiForums Tanzania Maziwa fresh, Kiswahili chake ni nini?

    Maziwa mabichi
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MKASA: Nilimuua rafiki yangu mwaka 1990, ananitokea akinitaka nikatubu

    Hii noma sana
Back
Top Bottom