Naweka uzi huu kwa dhumuni la kutaka kujua ghalama ya Toolbox complete ya vifaa vya plumbing au hata ukiweza kuniunganisha na wauzaji wa vitu hivo.
mjumuisho uwe ni wa vifaa kama vile
Pipe Wrench To 3"
Plizer
Tape
measure
Hack saw complete
Pipe Vice
Hammer
Die 1.5"
Die 1"
Die 3/4"
Die 1/2"...
Naweka uzi huu kwa dhumuni la kutaka kujua ghalama ya Toolbox complete ya vifaa vya plumbing au hata ukiweza kuniunganisha na wauzaji wa vitu hivo.
mjumuisho uwe ni wa vifaa kama vile
Pipe Wrench To 3"
Plizer
Tape
measure
Hack saw complete
Pipe Vice
Hammer
Die 1.5"
Die 1"
Die 3/4"
Die 1/2"...
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Water supply engineering kwa ufaulu wa GPA ya 2.4,Lakini napenda kujiendeleza nisome elimu ya juu degree kwa course inayohusiana na mambo hayo.
sasa naombeni kujua ni taratibu gani naweza fuata niweze fanikisha adhima yangu,,,, ikiwa kwamba sina kigezo cha kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.