like seriousChoma moto
Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
kuna roho mbaya zingine zimepitilizaChoma moto
please tuwasiliane 0715500857Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
Adi namtaman aliyepata vyeti vyake.. U a such a nice person..coz sio wote wanaokota wanatangaza till mwnyw anavipata... Mungu akuongoze uwe Na moyo uwo uwo....Nilipeleka clouds keshapatikana
Inshallah MadameAdi namtaman aliyepata vyeti vyake.. U a such a nice person..coz sio wote wanaokota wanatangaza till mwnyw anavipata... Mungu akuongoze uwe Na moyo uwo uwo....