Recent content by George Kivuyo

  1. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Tupeane update kuhusu ajira za uhamiaji zilizotangzwa hivi karibuni

    Hizi ajira zinatangazwa lakini tunashindwa kujua huwa zinapatinaje
  2. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

    Aisee kuna watu hawana hata aibu,yaani wanakwapua hela ndefu kiasi hicho?
  3. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

    Nenda tuu kamsalimie rafiki yako
  4. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Dejan Georgijevic, Mzungu wa Simba Wavunjwa

    Mimi naona bora asepe zake kwani hakuwa na msaada wowote kwenye timu.Bora aachie nafasi ili klabu isajili mtu mwenye msaada.
  5. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga: Sioni umuhimu wa Nchi kufanya Sensa kila baada ya miaka 10

    Siamini kama kweli Kitwanga hafahamu umuhimu wa sensa
  6. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaionya Marekani kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu

    Mungu atunusuru na hivi vita
  7. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Ila huyu boss huwa ni mwepesi wa kupanic ,mpira wa miguu una matokeo ya kikatili mno.
  8. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii Liverpool sasa sifa,unamfungaje mkubwa mwenzako goli zote hizo?
  9. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

    Aisee kuna watu wanakula maisha
  10. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Endelea kuwa na subira mdau
  11. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Aliyemnyonga mtoto wa mwaka mmoja Arusha asema sio tukio lake la kwanza

    Jaman tuwe makini na hawa wadada wa kazi
  12. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Mwalimu adaiwa kumpa mimba mtoto wa mwalimu mwenzake

    Huyu mwalimu amefanya kitendo ambacho ni kibaya mno,anyway vyombo vinavyohusika viendelee na msako wa kumsaka huyo mwl na kumpeleka kwenye vyombo vya sheria
  13. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Spika angepambana na CAG kwa hoja badala ya kumshambulia Mbowe kwamba anapotosha ripoti ya CAG
  14. George Kivuyo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

    Ila kusema kweli,mheshimiwa rais wetu alizungunza kingereza kizuri.Hongera kwake
Back
Top Bottom