Recent content by george de hero

  1. george de hero

    Hatma ya wasomi wetu Tanzania

    swala kama hili limeshindikana toka enzi za mwalimu
  2. george de hero

    Kivuko cha Kivukoni TEMESA

    bado hata deadline haijafika watu bado wanatuma maombi
  3. george de hero

    TAIWAN HOTEL SIO POAAAA ASEEE

    aisee nipo hapa taiwan hotel igoma mwanza pametulia saaana.....!!!!! sio poaaaa kuna vybe kama looooote hiki kiwanja Sent using Jamii Forums mobile app
  4. george de hero

    Mambosasa amshambulia mwandishi aliyemuuliza kuhusu askari waliompiga risasi Akwilina, amtuhumu kutumwa na CHADEMA

    Na mimi kama mwandishi wa habari ningemjibu sifanyii kazi chadema nafanya kwa ajili ya wananchi....
  5. george de hero

    Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    Nashangaa saana nyimbo zake znazofanya vizuri nje ya nchi apa bongo zimefungiwa
  6. george de hero

    Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

    Ushindi wa kusua sua kila siku kigoli kimoja afu angalia yanga wana wafungaji wangapi....!!! Apo utajua ata mkichukua ubingwa... mwsho wenu chalinzeee
  7. george de hero

    Hatujapata booom mwezi sasa.....!!!!!

    nipo chuo cha mwalimu nyerere kigamboni mpaka leo boom ni stori tu hakuna chochote. .....
  8. george de hero

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    jamani naomba mniangarizie na Mimi s.2869/0129/2011
  9. george de hero

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    jamani naomba mniangarizie na Mimi s.2869/0129/2011
  10. george de hero

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    nahitaji kufanya application lakini website ya tcu haipatikani mpak sasa tatizo nini hawa watu mbona ubabaishaji mwingi....
  11. george de hero

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    toka jana usiku mpaka saa izi saa mbili asubuhi najaribu kufungua website ya tcu haifunguki.... na bhado cjajaza coz yoyote.... dead line ni lini kwa form six wa mwaka jana....?
  12. george de hero

    Simu inanipa stress, ACM limit exceeded

    mmmh nikibadili line ntapoteza mambo mengi sana... bt nikiweka sim card tofaut... hakuna tatzo
  13. george de hero

    Simu inanipa stress, ACM limit exceeded

    nimejaribu ku reset sijafanikiwa kaka....
Back
Top Bottom