Recent content by geollen

  1. geollen

    This is Msamvu bus terminal stand Morogoro

    Stendi bora ipo korogwe
  2. geollen

    AY & FA: Bilioni 2 za tigo ni hela za kawaida sana kwetu, tushazikamata sana

    Waache uboya...huo ni uboya B 2. ni hela ndogo????!!!!!
  3. geollen

    Mbunge Susan Lyimo: Kama kweli hostel za UDSM zimejengwa kwa Mil 500, nitatoa hela zijengwe zingine

    "Nawapongeza sana TBA kwa kazi nzuri mliyoifanya mpaka sasa, mradi huu utatumia Shilingi Bilioni 10 tu, Wakandarasi kutoka nje walitaka kujenga mabweni haya ya wanafunzi kwa Shilingi Bilioni 100, sasa mtaona wenyewe tumeokoa Shilingi ngapi" amesema Rais Magufuli.
  4. geollen

    Mbunge Susan Lyimo: Kama kweli hostel za UDSM zimejengwa kwa Mil 500, nitatoa hela zijengwe zingine

    TEA Yatoa Milioni 496 Kujenga Uzio wa Hosteli Mpya za UDSM.
  5. geollen

    Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    hiv ni kwel kwamba abiria hana msaada kwa dereva wakat wa safar!!!!!!!
  6. geollen

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Ndo mana umesema cc ni watu wa ajab,sio wa kawaida
  7. geollen

    Tanga... jamani nasema Tangaaa

    Tanga raha asikuambie mtu,wewe tafuta hela yako,ukitaka kutumia nenda tanga.
  8. geollen

    Picha mbalimbali za Mkoa wa Mwanza

    ww umesema tuulize swal lolote,shobo ya nn,kuna cha kushobokea hapa! 'K" ww
  9. geollen

    Picha mbalimbali za Mkoa wa Mwanza

    Umeolewa?
  10. geollen

    Hashim Rungwe: Mlininyima kura za urais, njaa inayowakabili na iwatafune

    Shikamoo babu....nimekuelewa vizur,lile dera tumefanya pazia:D:D:D
  11. geollen

    Muonekano wa moja ya ndege mpya za Air Tanzania

    Mpaka leo tunatumia Dash 8!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom