RedDevil
JF-Expert Member
- Apr 30, 2009
- 2,367
- 1,524
Nice mkuu asante
Soon itakuwa hivyo ni ramani ya uwanja ndege wa mwanza iko kwenye ujenzi mkuu
aaah, siyo barabara. aerial view ya huku mtaani kwetu bana!
Hio terminal three ya jknia.Soon itakuwa hivyo ni ramani ya uwanja ndege wa mwanza iko kwenye ujenzi mkuu
Umetumwa au una hoji?Nani kakudanganya?
Ndio kulikuwa na mpango wa kujenga kama hiyo Mwanza Airport nadhani ujenzi unaendelea...Hio terminal three ya jknia.
Asante kwa UpdateNdio kulikuwa na mpango wa kujenga kama hiyo Mwanza Airport nadhani ujenzi unaendelea...
Hahahahaha kaka ulikuwa ni uzinduzi na huyo ndo mkulu wa nchi enzi za uwaziriKweli msukuma ni msukuma tu![]()
Abajubi extraBALIMI EXTRAA LAGER
Kanda yetu bia yetu
ww umesema tuulize swal lolote,shobo ya nn,kuna cha kushobokea hapa! 'K" wwMkuu umelazimishwa kukomenti au shobo tu??
K malaya wako Mkuu acha kejeli mimi huwa sijibu upuuzi kama ulioulizaww umesema tuulize swal lolote,shobo ya nn,kuna cha kushobokea hapa! 'K" ww
Wewe wapi ambapo si pa kawaida hapa TanzaniaMwanza pa kawaida sana tofauti na sifa nilizokuwa nazisikia!