Kwa juhudu alizozionesha mheshimiwa rais John Pombe Magufuli katika taifa letu, ni dhahili kuwa upinzani hawana nafasi tena ya kupambana na kupindua meza ifikapo mwezi octoba mwaka huu.
Juhudi za kuinua uchumi wa Tanzania na kuifanya nchi yetu kuwa kati ya nchi chache barani Africa zenye uchumi...
Naona ww hujaelewa hoja iliyowasilishwa hapo.....kila nchi ina sovereignty na haitakiwi kuingliwa na nchi yoyote....ndo maana jamaa katoa ushauri juu ys hawa maboya kuingilia masuala ya Tanzania
Anaweza kushirikiana na bunge kama raia wa kawaida mbali na cheo cheke. Kama ilivyo kwa wageni mbalimbali waotembelea mikutano ya BUNGE
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.