Recent content by gentlemanx

  1. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana

    Sasa huyu anasema nilipie kifurushi kabla hawajafunga, Hapa nahofia kupigwa
  2. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana

    Sijakuelewa mkuu, Wanakufumgia for free au kuna gharama? Nipe process ulivyofanya wewe
  3. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana

    Niliwapigia hawa savvana,nimeshangaa wanasema kukuunganishiabni bure,ila nikivyoomba waniunganishie wanasema nilipe kwanza kifurushi. Nilitegemea waunge,then mimi nichague tu kifurushi na kujiunga
  4. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Nina haja nawe kila saa

    Wengi sana tunapitia hizo hali,leo asubuhi nilitamani nizime simu zote nisafiri hata mkoni hanijui mtu nikae nitulie tu.
  5. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Sina hamu na ndugu yangu, Nimemsamehe ila sitaki ukaribu naye tena kwani chuki yake dhidi yangu ilinipitisha kwenye moto

    Tabia za wanaweka zinafanana? Mwanamke mmoja akifanya jambo basi wote ni wako hivyo hivyo?
  6. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Sina hamu na ndugu yangu, Nimemsamehe ila sitaki ukaribu naye tena kwani chuki yake dhidi yangu ilinipitisha kwenye moto

    Uzi wake umeusoma wote na kuuelewa au unafurahisha genge?
  7. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Mwenye Uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA

    Ni mazuri sana sema ndo hivyo yanachagua sufuria plus yanakula yananyonya umeme sana. All in all zuri
  8. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Nauza na kubadilisha 'housing' za Laptop!

    Dell latitude 5580 kiasi gani unafanya kubadili housing
  9. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania You Are God - A Philosophical Essay on the Nature of Existence, Reality, and Immortality

    Aliesoma uzi wote atupe summary,nimeishia tu mimi mwenyewe ndo MUNGU muumba wa vyote vilivyomo
  10. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Shindano: Kama hujawahi kukomenti kwa emoji, jishindie 10,000/-.

    Inamana mkuu hujaniona au?
  11. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia nayo yarekebisha ndoa kwa wenye umri mdogo

    Huyo inaonekana atamuozesha kabisa binti yake kwa kibabu atachomkuta nacho Sent using Jamii Forums mobile app
  12. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia nayo yarekebisha ndoa kwa wenye umri mdogo

    FaizaFoxy habari hii hivi ameichukuliaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Patricia binti wa Pfunk Majani

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]day Jamaa una maneno balaa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Kwisha habari yake

    Duuh
  15. gentlemanx

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya watu wa Dar na watu wa mkoani ni hii

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah,nimecheka sana
Back
Top Bottom