Recent content by gennessh

  1. G

    Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

    Sasa wewe Magamba a.k.a Mbulula, ndo tuseme wewe ni mahakama kumhukumu yeye na chama. Najua una akaunti nyingi kwa majina tofauti hapa JF kwa lengo la kupotosha umma. Hicho ni choo cha kike. Hajiuzulu mtu na kesi itawaumbua. Mwambie shoga yako kuwa nafasi yake ya kazi pale BOT imeshajazwa. Sijui...
  2. G

    Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    Sasa Mtela, wewe umetoka CHADEMA juzi. Wakati huohuo unataja yaliyojiri 2007 hususan mafunzo ya Libya na Urus na mengine mengi. Mbona hukutoka wakati ule. Mbona hutuambii wewe ulipelekwa mafunzo nchi gani. Mbona hutuambii uliyotenda kabla ya kuhama. Nenda kafundishe mwalimu. Ukibana matumizi...
  3. G

    CHADEMA in war against the truth

    Akili za watu wenye uwezo mdogo wa kufanya mijadala na kufikiri kwa mapana wanataka ujadili hoja kwa kutumia hoja ndogo kama wafanyavyo wasabato kuchukua mstari mmoja wa biblia. Endeleeni kutengeneza clips zinazoipa ushindi chadema
  4. G

    Mbowe: Tutachukua nchi kwa Ulaini bila Kuteka Mtu yeyote

    Wavivu kufikiri na uelewa mdogo utawajua kwa majibu yao tu. Muombe akuoe ili akumilikishe hiyo Billcanas
  5. G

    Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka kwa umoja wa wanafunzi waliofukuzwa vyuo na vikuu nchini

    Ndugu, hapa ndo umeonesha mhemko wa balehe kabisa. Huko SUA ndo umeingia first year au??? Unadhani hakuna wanafunzi wa SUA waliofukuzwa.
  6. G

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Wadau, mimi niko ughaibuni na nimeona Clip ya kijasusi ikimhusisha Rwakatare ambaye inasemekana ni Afisa usalama wa chama kimoja cha siasa, bila shaka kama ilivyosemwa ni CHADEMA. Nimefanya uchambuzi wangu kama ifuatavyo: Mazingira ya Tukio: Hivi kweli ikiwa Rwakatare alikusudia kupanga njama...
  7. G

    Kwa staili hii CHADEMA inafuata nyayo mbovu za CCM ni muda muafaka kukemea

    Wadau, mimi niko ughaibuni na nimeona Clip ya kijasusi ikimhusisha Rwakatare ambaye inasemekana ni Afisa usalama wa chama kimoja cha siasa, bila shaka kama ilivyosemwa ni CHADEMA. Nimefanya uchambuzi wangu kama ifuatavyo: Mazingira ya Tukio: Hivi kweli ikiwa Rwakatare alikusudia kupanga njama...
  8. G

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Wadau, mimi niko ughaibuni na nimeona Clip ya kijasusi ikimhusisha Rwakatare ambaye inasemekana ni Afisa usalama wa chama kimoja cha siasa, bila shaka kama ilivyosemwa ni CHADEMA. Nimefanya uchambuzi wangu kama ifuatavyo: Mazingira ya Tukio: Hivi kweli ikiwa Rwakatare alikusudia kupanga njama...
  9. G

    Padri Hauawi, Hata Sheikh Pia...!

    Mkuu Maggid umenena vyema. Lakini ebu angalia hii klipu alafu ujue kwanini tumefika hapahttp://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=BaJHhlIdXK8 - Padri hauawi, hata Sheikh pia... Ndugu zangu, Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kuuawa kwa Padri Mushi wa Kanisa la Minara...
  10. G

    Haijawahi kutokea... Zitto afunika Kasulu mjini, CCM, NCCR Matumbo moto!

    Mkuu inaonekana unakurupuka. Huoni picha
  11. G

    Risala ya marehemu ccm itakayosomwa 2015 kipi kiongezwe?

    Marehemu aliambukizwa maradhi haya ya kisasa kwa kuwaonga wanawake kanga, tisheti na hata pesa kadiri ya shilingi elfu kumi kila mwanamke aliyempenda
  12. G

    Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

    Labda utupe ushahidi kuwa wote waliwekwa kwa kuteuliwa na hawakuchaguliwa miongoni mwa wanachama wa chama hicho kwenye vyuo husika. Lakini mkuu, tukubaliane kwanza hapa: 1. Rais wa J/Muungano-JK-Muislamu 2. Makamu, Bilali- Muislamu 3. Rais wa Zanz, Shen-Muislam 4. Makamu wa 1 Zanz, Seif-Muislam...
  13. G

    KWA HILI CCM INASTAHILI SIFA: Mnyonge anyongwe lakini haki yake apewe

    :israel::israel: Kwa maendeleo haya mnadhani wananchi watarubunika kuwapa kura!
  14. G

    January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

    Hivi UKWELI ni nini? Ukweli uko wapi? Ukweli unathibitishwa na nani? Anyway, nadhani nauliza maswali magumu kwa watu waliochoka kufikiri. Nyie endeleeni kujifariji kama mwaathirika aliyebakiza mifupa mitupu na hoi kitandani huku akifikiri kupigana masumbwi. Nawashauri muanze matumizi ya ARV feki.
  15. G

Back
Top Bottom