The end you r disgusting.......na inaelekea message Hi ilikuwa yako moja kwa moja mic chagga kakushtukia......you r a devil himself
QUOTE=The End..;10707203]atakaye like huu uzi nitamshangaa sana!!! yaani huyu miss chagga haelewi kabisa:
1.papuchi siyo dili siku hizi zinapugua ladha siku hadi...
Asante ndg kwa kukumbusha mambo na observations zenye akili nligundua ni complicated issue hadi nikaanza kusoma vijarida khs hii ishu ni juzi kati baada ya ndugu yangu WA damu kutest positive yaani since then.....nauogopa ukimwi jmn tubadilike ktk hili kwa kweli
Sorry nsomba niwaeleweshe kdg......watumisho WA serikali hawalaximishwi kuchukua mishahara nmb pili suala la nmb mobile co la nmb pekee wkt mwingine inasababishwa na mobile subscriber Wako km hayupo vzr cku iyo it means nmb mob itakuwa down na c nmb pekee wenye huduma hii benki zote zenye hii...
habari wana jf......mm ni kobonge kdg nina tatizo la kuwa na rangi nyeuc sana katikati ya mapaja nliwahi kuambiwa cream ya gentrison nimeitumia sana ila cjpata ufumbuzi tatizo hili lipo na mikononi yyani underarms....hv ni ugonjwaa au .......
Hope hamujambo sana
mimi wananiita bonge nina uzito wa kg 97 lakini my ideal wt kitaalamu ni kg 65 nilianza shida hizi baada ya uzazi miaka mitano nyuma nimeshindwa kabisa kurudi kwa uzito wangu wa mwanzo.....nimefanya mazoezi..nimechemsha sababu spidi ya njaa inakuwa kubwa nimejinyima sana...
mimi ni wa bara wenyewe mwatuita wa nyika nimeolewa huku nawaona wifi zangu hamjui kupikaa,wachafu,hata mitoto yenu kuilea hamjui kuutwaa kwenye vijumba vya watu umbea sasaaaaa hata upite mahali usiku wa mamane ushaonwa......kupaka hina na kukaa vibarazani baaaaasi ndo mnaweza huku bara jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.